msaada nataka kuacha wezere

msaada nataka kuacha wezere

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,289
Reaction score
1,243
wasalaam ndugu zangu wakristo na watukufu waislam,,,,,,,,,,,,

kwa mda mrefu nimekuwa ni mpenzi wa nyama ya nyiongeza au kisamvu cha kopo almaarufu 071,,,,,,,,,

kwa kweli nimeona ni maisha ya dhambi na kwa dhati nataka kuacha nifanyeje?

nakala kwa ndugu zangu waheshimiwa
Madame B,,,,,, Heaven on Earth,,,,,,, Evelyn Salt,,, asakuta same, ,,,,,, Lady doctor ,,,,, lara 1 watu8, ,,,,,, Baba V na wana MMU WOOTE natanguliza shuklani
 
Last edited by a moderator:
Umeshalemaa wewe....!!wakati unaanza haukutuomba ushauri unakuja kutuomba wakati mchicha umeshakua mbuyu?Endelea tu kutawanya kinyesi
 
Pole sana ni vyema kamaumeacha hiyo,tubu kwa sin hiyo na zingine zilizopo uanze maisha mapya ya usafi.
 
mie sijui ukitaka kuacha unafanyaje....ila huo mchezo siupendi kabisaaa
 
wasalaam ndugu zangu wakristo na watukufu waislam,,,,,,,,,,,,

kwa mda mrefu nimekuwa ni mpenzi wa nyama ya nyiongeza au kisamvu cha kopo almaarufu 071,,,,,,,,,

kwa kweli nimeona ni maisha ya dhambi na kwa dhati nataka kuacha nifanyeje?

nakala kwa ndugu zangu waheshimiwa
Madame B,,,,,, Heaven on Earth,,,,,,, Evelyn Salt,,, asakuta same, ,,,,,, Lady doctor ,,,,, lara 1 watu8, ,,,,,, Baba V na wana MMU WOOTE natanguliza shuklani

vp umeisha anza kuvaa nepi kama mtoto ila poa endelea tu siku hizi kuna pampars tena bei ndogo
 
Last edited by a moderator:
Ukishakula nyama ya Mtu huwezi kuacha
By JK Nyerere
 
Yaani unapenda kutumia Tigo au unatumiwa Tigo? Fafanua kidogo!
 
Hebu fafanua, wew ni mla au mliwa?? tunataka tujue tunakusaidiaje..
 
Kale YAMINI na Uombewe Itikafu, na baada ya hiyo Itikafu waambi ikishindikana na ukarudia basi ufanyiwe Mubahala endapo ukirudia urudishe kadi kwa Mola.
 
Umeshalemaa wewe....!!wakati unaanza haukutuomba ushauri unakuja kutuomba wakati mchicha umeshakua mbuyu?Endelea tu kutawanya kinyesi

mkuu mbn unafoka sana umekuuma mimi kuacha huo mchezo kama unataka wafuasi mi akaaaa
 
kuacha ni wewe utifuliwe hiyo no.ya maajabu a.k.a mini kabang
 
Hebu fafanua, wew ni mla au mliwa?? tunataka tujue tunakusaidiaje..

watu wanataka kutake advantage hapa,ole wako mtoa mada ukitaja position yako (yan kama unakula ama unaliwa) imekula kwako.
 
Kale YAMINI na Uombewe Itikafu, na baada ya hiyo Itikafu waambi ikishindikana na ukarudia basi ufanyiwe Mubahala endapo ukirudia urudishe kadi kwa Mola.

mhhh mpenz lara 1 itikafu si husomewa watu ili wafe kwa mujibu wa mhe jk? ss nife kweli?
 
Back
Top Bottom