donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salam wakuu,
Habari za mchana? Haya,
Katika hizi siku za karibuni matokeo ya watu kutendwa na wapenzi yameongezeka kwa kiasi kikubwa for both genders na imefikia hatua mbaya mpaka ya watu kumiminiana shaba na kujiua kutokana na mapenzi. In my own opinions kwa kweli inauma sana imagine mtu unampenda unamjali na kuhakikisha unamtimizia mahitaji yote muhimu lakini still ana go round your back naku-kucheat! Pata picha maumivu mtu anayoyapata akichek ye moyo wake ndio ulishapenda asilimia mia. Sasa mmi kwa mtizamo wangu binafsi naona:
Kama kwenye maswala mengine ya kimaisha tunavyokua na a backup plan or plan b! Hata kwenye mapenzi basi pia iwe ivyo. Yeah, kwamba mtu unachoose randomly wapenzi wawil ambao angalau kuna ka future flan ndio una wakeep close. Unajua ninbi? Ubaya wa kua na mpenzi mmoja ambapo probaility yakuget hurt ni moja (and trust me, u don't want a probablity to be 1) lakini ukiwa na wawili probability inakua ni 0.5 meaning there are equal chances of each event to occur! Hapo event zote zikiturn positive unachagua moja ya kuichinjia baharini ki roho safi na kuendelea na hiyo remaining one. Nyie mapenzi yanauma sio mchezo we fikiria mtu anautoa uhai wake kitu ambacho most of us we value so much kwa sababu ya hayo maumivu ya mapenzi? Brainstorm!
N.B: none of the above is true, its a bunch of ----.
N.B: vunja mtandao, jiulize tuko wangapi?
N.B: AIDS is out there, take precautions
N.B: tetrahydrocannibinol should be consumed 'wisely'