King_biggie
New Member
- Jul 20, 2013
- 3
- 0
Mungu alimuumba Adam na Hawa. Ina maana katika vizazi vyao kuna watakaokuwa na jinsia ya Adam na kuna watakaokuwa na jinsia ya Hawa. Sasa shoga amechukua jinsia ya yupi kati ya hao? Kama watasema ni Hawa je wanasifa za kuwa na jinsia hiyo? Jibu hapana. Na kama watasema ni Adam je kilichowafanya kujifananisha na wanawake ni nini?
Read more at: KWANINI KUWA SHOGA? NA KUNA FAIDA GANI YA KUWA HIVI? - PERSONAL DEVELOPMENT <!--if()-->- <!--endif--> - Publisher - Staryte | The Informative
Read more at: KWANINI KUWA SHOGA? NA KUNA FAIDA GANI YA KUWA HIVI? - PERSONAL DEVELOPMENT <!--if()-->- <!--endif--> - Publisher - Staryte | The Informative