Niombeeni mwenzenu

Niombeeni mwenzenu

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,788
Reaction score
8,755
Kwa maombi yenu nitasimama, kwa maombi yenu nitafanikiwa na kwa ushauri wenu nitapona, poleni na majukumu yenu ya kila siku.

Mwezenu leo inabidi niseme kwani hii hali imenichosha sana, takriban miaka mitatu sana nikilala usiku kuna mtu huwa anakuja na kufanya mapenzi na me, mwanzoni nilidhani ni hali tu ya kawaida lkn inanistua kwani kwa sasa hiv amekuwa akija mara nyingi zaidi, mbaya zaidi ni kwamba nikimuona mwanaume namuona km mtu anayetisha. Hii ni kitu gani jamani hebu nisaidien sina raha kabisa!!
 
samahani kidogo, ukifanya nae huwa unaskia raha?
 
aisee spiritual husband (mume anaekaa kihalali) au jini mahaba

ngoja nimalize kazi hapa nitarudi mpendwa ucogope
 
Kwa maombi yenu nitasimama, kwa maombi yenu nitafanikiwa na kwa ushauri wenu nitapona, poleni na majukumu yenu ya kila siku.

Mwezenu leo inabidi niseme kwani hii hali imenichosha sana, takriban miaka mitatu sana nikilala usiku kuna mtu huwa anakuja na kufanya mapenzi na me, mwanzoni nilidhani ni hali tu ya kawaida lkn inanistua kwani kwa sasa hiv amekuwa akija mara nyingi zaidi, mbaya zaidi ni kwamba nikimuona mwanaume namuona km mtu anayetisha. Hii ni kitu gani jamani hebu nisaidien sina raha kabisa!!

jini mahaba hilo jikite kwenye maombi wakati wa kulala usiache kusali mlilie muumba wako atakuokoa kwenye tabu zako
 
samahani kidogo, ukifanya nae huwa unaskia raha?

hahaha Husninyo banah! Hii ilishanitokea yan unakua kwenye tendo kabisa ila sura ya mwanaume ndo inakua haionekani..ila mimi njia niliyotumia kukabiliana na hyo hali ni tofauti kidogo.....anyway Mungu akulinde..
 
Last edited by a moderator:
huyo ni jini mahaba...hebu mjibu husninyo kisha tuanzie hapo....hapa doc mzizimkavu anahusika sana
 
^^
Angalia vizuri isiwe ni msongo wa mawazo wa kuhitaji mwenza.
Msongo uliokomaa kiasi cha kujenga kutu unakuletea majinamizi ya fikra ili ukizi kiu ya moyo wako.
Kama ndivyo punguza misimamo mkubali akupendae
^^
 
hahaha Husninyo banah! Hii ilishanitokea yan unakua kwenye tendo kabisa ila sura ya mwanaume ndo inakua haionekani..ila mimi njia niliyotumia kukabiliana na hyo hali ni tofauti kidogo.....anyway Mungu akulinde..
Nadhani hii hali wanawake wengi wanakubwa nayo....anyway msaidie njia uliyoitumia hata kwa pm ili naye ajikomboe kwenye huo utumwa....
 
Last edited by a moderator:
hahaha Husninyo banah! Hii ilishanitokea yan unakua kwenye tendo kabisa ila sura ya mwanaume ndo inakua haionekani..ila mimi njia niliyotumia kukabiliana na hyo hali ni tofauti kidogo.....anyway Mungu akulinde..


Hebu niambia plz nimechoka na hii hali
 
Hata ww ulishawahi kukukumba

Hapana ila kwenye radio za dini wanalizungumzia sana swala hili la majini mahaba....na wengi ndoa zao zimevunjika kwasababu hiyo mana wanavuruga ndoa ili waendelee kuwamiliki wanawake wao
 
Nadhani hii hali wanawake wengi wanakubwa nayo....anyway msaidie njia uliyoitumia hata kwa pm ili naye ajikomboe kwenye huo utumwa....

hapana iman yake ipo kwenye maombi..aendelee kusali kwa imani na kuondoa hofu ndan yake...
 
Back
Top Bottom