Nikushirikishe maneno haya rafiki wa online

Nikushirikishe maneno haya rafiki wa online

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
[h=3]1 KOR. 6:18-19[/h] [h=3]Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe.[/h] [h=3]Wako wapi mabinti/wakaka wanaomuheshimu MUNGU...Unapopiga picha za utupu na kuweka mitandaoni siyo kwamba unawaburudisha watu la! hasha bali unajishushia thamani wewe. alafu unamkosea MUNGU kwa sababu Mwili wako ni HELAKU,mwili ni Nyumba iliyovaa ROHO...MUNGU alikufinyanga akakutengeneza ili uje Duniani...Yaani wewe asili yako ni MBINGUNI.....Wanadamu wote walitoka mbinguni, na asili yetu ni mbinguni kwa Mungu. Hata ukisoma maandiko yanaelezea vizuri, Yeremia 1:5 “Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa” ...Mtu anapoingia katika kitendo cha uzinzi maana yake anachafua HEKALU LA MUNGU.. sio hivyo tu hata kuchana chale ni kosa kubwa, Agano la kale liliwaamuru waIsraeli, “Msiikate miili yenu kwa ajili ya wafu wala kuchanja chale juu ya ngozi za miili yenu.Mimi ni Bwana” (mambo ya walawi 19:28)...Tambua matumizi ya MWILI WAKO....Heshimu mwili wako maana ni HEKALU TAKATIFU
Tunapaswa kufahamu kuwa miili yetu na nafsi zetu pia zimekombolewa na ni mali ya Mungu. Ijapokuwa haelekei moja kwa moja juu ya chale na alama za miili, 1 Wakorintho 6:19 -20 inatupatia kanuni moja, “Nini? Hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu, akaaye ndani yenu, ambaye mnaye kutoka kwa Mungu na ninyi si mali yenu wenyewe. Mmenunuliwa kwa thamani kwa hivyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu na katika roho zenu ambvyo ni vya Mungu.” Miili yetu sharti iandamane na ukweli kokote tuendako.

[/h]
 
1 KOR. 6:18-19

Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe.

Wako wapi mabinti/wakaka wanaomuheshimu MUNGU...Unapopiga picha za utupu na kuweka mitandaoni siyo kwamba unawaburudisha watu la! hasha bali unajishushia thamani wewe. alafu unamkosea MUNGU kwa sababu Mwili wako ni HELAKU,mwili ni Nyumba iliyovaa ROHO...MUNGU alikufinyanga akakutengeneza ili uje Duniani...Yaani wewe asili yako ni MBINGUNI.....Wanadamu wote walitoka mbinguni, na asili yetu ni mbinguni kwa Mungu. Hata ukisoma maandiko yanaelezea vizuri, Yeremia 1:5 “Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa” ...Mtu anapoingia katika kitendo cha uzinzi maana yake anachafua HEKALU LA MUNGU.. sio hivyo tu hata kuchana chale ni kosa kubwa, Agano la kale liliwaamuru waIsraeli, “Msiikate miili yenu kwa ajili ya wafu wala kuchanja chale juu ya ngozi za miili yenu.Mimi ni Bwana” (mambo ya walawi 19:28)...Tambua matumizi ya MWILI WAKO....Heshimu mwili wako maana ni HEKALU TAKATIFU
Tunapaswa kufahamu kuwa miili yetu na nafsi zetu pia zimekombolewa na ni mali ya Mungu. Ijapokuwa haelekei moja kwa moja juu ya chale na alama za miili, 1 Wakorintho 6:19 -20 inatupatia kanuni moja, “Nini? Hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu, akaaye ndani yenu, ambaye mnaye kutoka kwa Mungu na ninyi si mali yenu wenyewe. Mmenunuliwa kwa thamani kwa hivyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu na katika roho zenu ambvyo ni vya Mungu.” Miili yetu sharti iandamane na ukweli kokote tuendako.


Amen. Tunashukuru kwa neno jema.
 
Amina mwinjilisti,
ila mwanadamu hajatoka mbinguni, naomba nirekebishe kwa hili kama nimekosea.
Habari njema
 
Asante sana kwa neno zuri Tutor B
Habari za jiji la sato na sangara Mkuu
 
Last edited by a moderator:
hapo pekundu hapo Tutor B nimeshindwa kupapaa au ni kile ninachokijua mimi au ni kingine

Kuna samaki wadogo, weupe wanatoka kwenye mto mdogo uko Magu; wanapatikana kwenye soko la jioni la Igoma. Walioko Mwanza wanawapata vilivyo.
 
saa zingine tukikumbushana mambo ya maana kama haya ni jambo jema mno kuliko kila wakati 'ooh wanawake hampokei simu' , 'ooh, niliinjoy kumtoa mtu bikra'....hayalipi kivile mambo hayo...ASANTE SANA MKUU MAANA NI JAMBO LA KHERI KUKUMBUSHANA.
Amen. Tunashukuru kwa neno jema.
 
saa zingine tukikumbushana mambo ya maana kama haya ni jambo jema mno kuliko kila wakati 'ooh wanawake hampokei simu' , 'ooh, niliinjoy kumtoa mtu bikra'....hayalipi kivile mambo hayo...ASANTE SANA MKUU MAANA NI JAMBO LA KHERI KUKUMBUSHANA.

Nimekusoma mpendwa katika Bwana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom