Tumeona na kusikia ya kina Ufoo, Munishi etc
kuna walioenda mbali zaid hadi hatua ya kutoa uhai au kujitoa uhai yote ni kwa ajili ya mapenzi..
Kwa tulio weza survive na ku move on hebu share...
MZEE mmoja kigogo wa biashara ya kuuza mbao jijini Dar es Salaam, hivi karibuni alinaswa kitandani ndani ya chumba akiwa na mrembo aliyedaiwa ni mwanafunzi wa shule moja ya msingi Tegeta Wazo...
Kuna rafiki yangu tunapendana sana tokea tukiwa wadogo mpaka hivi sasa yaani ndio rafiki wa ukweli, ila mwaka jana tuliporudi likizo nyumbani kwetu vijijini baada ya kula kula sikukuu ya krismasi...
CHUKUA HII,,Kijana wa kiume anakaa na wazazi wake kwa mda wa miaka 25/27 akaoa,,sasa muda wote wa kuishi anayemjulia hali kwa karibu ni mkewe siyo mamake tena..Wamekaa na kuishi miaka 60/70...
Kwa wale walioko kwenye mahusiano ya Ndoa, Uchumba au Urafiki, mwenza wako akikupa nafasi ya kumueleza ni kitu gani akufanyie ili auburudishe moyo na nafsi yako, utamwambia akufanyie nini...
Hbarini za asubuhi wapendwa, hope mnawndelea vema na shughuli zenu za kila siku.
Back to topic,
Mimi ni msichana nina miaka 26, nina mchumba ambaye tupo kwnye process za ndoa ila tumekubaliana...
Kweli izi ni nyakati za mwisho,mama mmoja aliyejiitambulisha kwa jina la esther okoro(mke wa mchungaji),raia wa nigeria ametubu ushetani aliokuwa akiufanya na mume wake ambaye ni mchungaji, kwa...
Jaamaa mmoja mumini wa kanisa moja hivi alikuwa kaoa mke wake ila hawakubahatika kupata mtoto, Mwanamke akawa anaombewa na mchungaji ili apate mtoto! Siku moja mchungaji akaenda kwa kondoo wake...
Huyu jamaa....
Ni tapeli la kimapenzi ni muhasibu wa Saccos moja mjini moshi.
Ameweza kutumia nafasi yake kuoa wanawake zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti akiwadanganya hana mke.
Mpaka sasa...
Anonymous:
Hi! I'm a lady aged 26 married with one
kid. Last week my husband was off
duty and I had to drive alone to work. I
left my husband with the maid and my
baby at home. I drove for...
This is a very good message for all those in relationship.
It is a quote from Prof. Wole Soyinka, the first person in Africa and the diaspora to win the highly coveted Nobel Prize in Literature in...
Wadau niaje?
Marafiki leo twende tofauti kidogo na malavidavi tuongee kama marafiki..
Natafuta nyumba mjini hapa ya vyumba viwili na living rum inayojitegemea kila kitu..
Kila sehemu...
Habari zenu wana-MMU!!
Mimi ni msomaji sana wa articles na majarida mbalimbali katika kupata kujua na kupambanua mambo mbalimbali,..
Moja ya article niliyowahi kusoma nimebahatika kukutana...
Zifuatazo ni baadhi ya tabia ambazo wanawake wasingependa wanaume wajue:
1.Anataka kuambiwa yeye ndiye mzuri tu ktk dunia nzima.Usimsifie mwenzake mbele yake
2.Jicho lake la kwanza anapokutana...
HOW TO IDENTIFY A NON
VIRGIN GIRL~Dr Cassidy
1. always scratching her pubic
parts.
2. a non virgin walks with her
legs widely apart.
3. a girl fully rounded - back side
suddenlyflatten...
Nimdada mrembo wa haja na mwenye sura ya kuvutia, kwa mujibu wa picture ambazo amekua akinitumi.
Huyu dada tulikutana kwenye moja ya social net, tukapendana na kukubaliana kuwa wapenzi pindi...
KUNA mengi ya kushangaza duniani lakini hili la kijana Hamad Issa (32) kunaswa faragha na bibi kizee Adela Mkalau (80) linaongeza rekodi ya mambo yanayoshangaza, Risasi Mchanganyiko lina kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.