Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heshima yenu wakuu. Leo nilikuwa safarini toka Moro kwenda Dar. Nilikaa jirani na dada wa kiarabu upande wa dirishani na mwanae alikuwa katikati katika siti za watu watatu. Njia nzima alikuwa bize...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari zenu, ¥¥¥asalaaam, nimekuwa katika wakati mgumu,baada ya mpenzi wangu kufanya maamuzi magumu,yakunikaanga baada yakuamua kunishitaki polisi kwa Rb Kgd/Rb/90015/2013.KUTISHIA KUUA KWA...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Aliyempweke tupige story,haya twende kazi
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna wadada fulani nilishawahi kukutana nao sehemu, hadithi zao zilionyesha wanasoma Chuo cha Tumaini cha sharia mjini Dari salama. Kuna interview fulani nilitaka kuwafanyia, sasa niliondoka...
0 Reactions
5 Replies
898 Views
Nilikua nimekaa pembezoni mwa bwawa la kuogelea huku nikitumi kinywaji bariiidi, jirani na nilipokuwepo palikuwa na vijana kama wa tatu pia walikua wanaogelea huku wakichezea maji hapa na pale...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Salam zenu Waungwana! Naomba mnisaidie hili jambo, Hivi mwanamke anaridhika kwa kukutanisha vikojoleo peke yake na pushapu kwa wingi au waweza tumia hata viungo vingine ili aweze kuridhika...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
kuna wazazi wanafanya romance na hata kugegedana huku ndani ya chumba chao kuna mtoto na taa ikiwa inawaka,unaweza fikiri mtoto kalala kumbe anaona kila style yenu,wengi wanaendelea kufikiri mtoto...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
watu wengi wanalalamika kwamba wanatendwa katika mapenzi.Dawa ni kucheza kwa step na uliyeingia naye,ukishindwa kucheza kwa step baba/mama umepotea. nina maana mama jitume jitume mtege mmen...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau Nitakuwa India kwa Mwaka mzima au Zaidi(off and on)...nipo kibusiness zaidi ila nitakuwa nikimiss kampani za kibongo ......especially ladies......from my home country...kama kuna connections...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
miaka ya nyuma mwanaumme anaenda suna(jando) porini, tulipokuwa huko tulifundishwa meengi likiwemo kujamiaana na mwenziwako. pamoja na mambo mengine tulifundishwa pia kukata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jaman wanajanvi naomba kujuzwa hapa kidogo.ninampenz wang nampend cn lakn cha kushangaza ananipigiaga cm mara moja kwa wiki nkimuulza mbona unansahau kias hicho anadai kua anakua bize cn, kiac...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kutokana na mambomengi ya mabadiliko ya tabia za watu na mazingira, wanaume wamekua wakikabiliwa na tatizo la nguvu za kiume, na kuangaika kwa kila dawa wanayoambiwa sasa jibu ni moja tu dawa...
0 Reactions
7 Replies
25K Views
Wadau mpenzi wangu anataka nisinyoe maeneo kisa kazi yangu ni ya kusafirsafiri ana wasiwasi nita cheat,nimevumilia sasa naona nywele zimekuwa nyingi mpaka imekuwa kero,msaada jamani nimwambie nini...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Jamani hili ni kwa madada wote emmbu twendeni na wakati jamani kuna dada mmoja jana akusita kumwsha mzee wa watu na tai lake akiwa na prado nje akampa""we ujana uanze na nani uzee umalize na...
0 Reactions
119 Replies
9K Views
Habari wana MMU, Jamani naomba tu niwashauri wanawake wenzangu ambao ni fans wa makeup. Ni kweli wengi wenu zinawapendezesha sana lakini ebu jaribuni kufikiria zaidi kuhusu madhara ya hii kitu...
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Ni tatizo linalokuwa kwa kasi , kwa wanawake na wanaume Wengi wanaweza kubisha lakini moyoni mwao wanakiri. Imekuwa kama ni fasheni sasa mtu hafiki climax mpaka apewe na kati, hili ni tatizo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kutafuta Mume Au Mke Kupitia Mitandao Ya Kijamii Kama Facebook, Twitter, N.k ''TUJARIBU KUJENGA HOJA TUNAPOSEMA NI SAHIHI AU HAPANA''
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Natafuta mchumba..shariti kubwa amepende Allh sana kuliko mimi..awe chini miaka 23 mpka 20
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeamini mke mwema anatoka kwa Mungu kwani nishasota humu muda mrefu hakuna kitu KWAHERINI HAPA PENU HAPANIFAI! LET IT
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom