apa kuna mapenzi kwel?

apa kuna mapenzi kwel?

mabene

Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
19
Reaction score
0
jaman wanajanvi naomba kujuzwa hapa kidogo.ninampenz wang nampend cn lakn cha kushangaza ananipigiaga cm mara moja kwa wiki nkimuulza mbona unansahau kias hicho anadai kua anakua bize cn, kiac kwamb nmeanza kumzoea na 2naelekea kumalza mwaka sasa,
 
anafanya kazi gani???maana kuna kzi nyingine sio mchezo,,,
 
Kwa hiyo kuna kazi nyingine sio mchezo na nyingine mchezo?
we olewa na jasusi uone,,,,usiku uko nae kitandani asubuhi ukiamka mwenzako yuko afghanistani kwa ajili ya ''mission impossible''............kupata salam zake tena mpaka mission ikamilike........
 
okey sasa huyo kama ni mtu wa mishe ni kawaida.... na wewe unampigia mara ngapi kwa wiki? kama yupo bussy inabidi wewe ndo uwe unapiga simu..... kama ungesema huwa apokei simu au anakukataza kupiga hapo kweli ningeona amna mapenzi...
 
jaman wanajanvi naomba kujuzwa hapa kidogo.ninampenz wang nampend cn lakn cha kushangaza ananipigiaga cm mara moja kwa wiki nkimuulza mbona unansahau kias hicho anadai kua anakua bize cn, kiac kwamb nmeanza kumzoea na 2naelekea kumalza mwaka sasa,

Yuko bize na mke mwenzako huyo
 
okey sasa huyo kama ni mtu wa mishe ni kawaida.... na wewe unampigia mara ngapi kwa wiki? kama yupo bussy inabidi wewe ndo uwe unapiga simu..... kama ungesema huwa apokei simu au anakukataza kupiga hapo kweli ningeona amna mapenzi...
Afuate huu ushauri,inawezekana na yeye anasubiri kupigiwa tu!!Abiria chunga mzigo wako.
 
Shuguli huwa haziishi hata siku moja kama anaampenda lazima atakua na muda naye otherwise hakuna kitu hapo
ndio maana nikauliza kwanza,na afterall anampigigia mara moja kwa wiki,,,
 
anafundisha A-level

Basi bi dada msamehe tu atufundishie hao wasomi wetu kuondoa division 5, Usikubali mapenzi yenu yawe kigezo cha "bigi rizalts nao" kufeli utapata laana za mulugo
 
Back
Top Bottom