In my world t was all perfect until ulipokata mawasiliano,only God knows how much ulipendwa.,slowly but sure,it's the hardest thing to be left kimya kimya and more worse bila kuambiwa...
Jana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo...
Wana JF,
Mke wangu ana wivu lakini hii naona is too much,,,Jana mida ya saa kumi jioni tumetoka mizunguko na mke wangu nikasema nipite kunyoa saloon manake kesho (leo) tuna harusi ya jamaa yetu...
Wanajamii! Za j2! Nipo home naangalia kipindi cha kigoli kinachorushwa na clouds tv. Watoto wana kata viunooooooooooooooo duuuuu hadi namwona mzee kitine akiingia majaribuni live(am a men najua...
Waungwana habari zenu...
Nimetokea kuwaza msemo wa KILA CHENYE MWANZO,HAKIKOSI KUWA NA MWISHO WAKE...
Nikajaribu kuufikiria mwisho wa JF na MMU kwa ujumla...
Kwako wewe mwana MMU,umeshaliwaza...
Kama kuna dhambi ambayo naiheshimu ni kutunza mtooto wa watu
dhambi hii imeiuma sana hasa kwa watanzania wengi na kinachonifurahisha
nje kupima dna ni cha kawaida lakini watanzania wakifikira...
For sure, nafurahi sana nikisoma post za watu MMU i can spend a whole day. Kinachonivutia kwanza ni ID za watu (nyumba ndogo, nyani ngabu, miss chaga, nyumba kubwa, kishtobe, mwekundu etc..)...
Heshima kwenu wadau,
Kumekuwa na migongano katika ndoa hasa kuhusu ratiba ya KUFANYANA
Hii ni kuhusu TENDO la ndoa linapaswa kufanywa mara ngapi kwa mfano kwa wifi?
Wengine huweka ratiba ya...
Nina girlfriend wangu nilikuwa sina imani naye na nilikuwa nina wasiwasi kuwa ananicheat ila sikuwa na uhakika ila siku nilipoijua password yake ya facebook ndipo nilipopata uhakika na mbaya zaidi...
leo ni siku ya ukimwi duniani,watu wanahimizwa kwenda kupima ukimwi.
MATUMAINI YA CHANJO NA TIBA.
mwaka 2010 ilikuwa ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa dakitali na mtafiti nguli,dr Fauce wa NIAD...
Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi...
Baada ya kujikuta nakwama mara kwa mara niliamua kutenga muda na kupekua huku na kule halafu nikakuta kumbe hatuna baadhi ya vitu vinavyotuongoza katika njia tunayoielekea.Nimependa kuwashirikisha...
Kuna ndugu yangu wa kike 18 miaka, anasoma chuo karibu na ninapoishi. Yeye anaishi kwa mama yake mdogo mbali na chuo. Nilimkaribisha awe anakuja mchana anapika na kula kwangu ili kupunguza gharama...
Hello MMU Maniacs
Mko poa watu wangu wa ukweli.
Mwezi wa kumi mtoto wa kihaya mkali tukaanza ku date baada ya kumtongoza kwa siku chache...lol sasa huyu manzi anapenda sex kupita...
Salaam wakuu,
Before anyone starts casting stones on me, first of all i'd like to say i mean no offense for those who dont take no alcohol. Okay, from my personal experience wakuu mimi nikiwa...
Leo wakati nakuja hapa nilipo muda huu nilikuwa nimeongozana na wadada kama wa-4 hivi inaonekana wanaishi jirani na wanakofanyia kazi au kuishi ni kumoja
Wadada hawa walikua na story iliyovuta...
Kuishi kwa machale
Kuongea kwa machale
Kupenda kwa machale
Urafiki wa machale
Ushirika (biashara) wa machale
Undugu wa machaleKanisani machale
Misikitini machale
Kazini machale
Kwenye familia...
Kuna jamaa mmoja ni rafiki yangu sana. Sasa kuna mdada mmoja jamaa alimpenda na wakawa na uhusiano.
Dada akamwambia jamaa anatafuta kazi. Jamaa kamfanyia mpango hadi akapata kazi (Na kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.