Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani kuna baadhi ya kina dada wanapenda maisha ya kuigiza sana kutwa nzima anaangalia tamthilia na kuvutiwa sana na maisha ya kwenye tamthilia hasa zile romantic issues lakini ukimwambia fanya...
6 Reactions
66 Replies
9K Views
WAUNGWANA; Amani na upendo vitawale kwenu nyote. Natumai mu wazima na mnaendelea na shughuri za kila siku. Nisiwachoshe, naomba niseme kilicho nileta huku mbiox2. Kwa hapa Tz naamini kua bado...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
kiukweli ninakwazika na mpenzi wangu pindi tupo katika kufanya mapenzi , after 2 minutes tu huanza kurusha majimaji .. nakufanya ladha ya mapenzi kuwa ovyo, sometimes i feel to apart her kwa...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
mimi ni kijana mwenye umri 20 years nilikua na kamanzi kamoja kimahusiano lakini siku ya siku kalibadilika na kunifanyi madharau c ndo tukatibuana kumbe kalikua kamepata new boyfriend muda kama...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa mwanaume mwenye hekima na busara lazima apigane hadi tone la mwisho ili kuifanya ndoa isivunjike. Sio kwamba ni kichekesho ila ni simulizi ya kweli aliyokumbana nayo rafiki yangu wa karibu...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Jirani yangu alikutwa na mauti akiwa na mke wa mwenzie. Japo na yeye ni mume wa mtu. Wote ni majirani. Source ni mimi mwenyewe .................... Msitumie dawa za kuongeza nguvu siyo nzuri.
7 Reactions
80 Replies
9K Views
Ukiachilia mbali kilio cha siku nyingi cha huduma mbovu za afya hapa nchini kuna changamoto kubwa ya rushwa iliyokithiri katika hospitali zetu hapa nchini... na sasa imefika hatua mbaya sana ...
21 Reactions
77 Replies
9K Views
Ni PM tuongee tubadirishane mawazo,angalizo mimi ni "me"
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wahenga wanasema wanawake ni wajinga, lakini wanaume ni wapumbavu, mjinga anaelimika -------- hubaki na upumbavu wake Wanawake wana nguvu na kwakweli ndio wanaendesha dunia, tunaambia kila...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Nini cha kufanya pindi unapogundua mke anatoka nje ya ndoa na pia unapobaini kwamba kumbe ni tendo la siku nyingi na pia amekuwa na mahusiano na zaidi ya mwanaume mmoja
0 Reactions
37 Replies
6K Views
wadau! mimi kwa kweli sipendi wala sipendezwi na hii tabia ya wazazi wetu kuwatukana matusi ya nguoni watoto! yani utakuta mama mtu mzima kabisa na kanga yake kiunoni, anamporomoshea matusi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
from my friend's blod lols i have to share with u mmu fans %HII KWA VIJANA WOTE WAKIKE NA WAKIUME% *Una Miaka 25 badoo upo tuu home una kaa kaa tuu kutwa nzima wewe ni ku chat tuu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
"" Wife : How much do you love me ? Husband : I love U so much, I can't measure. Wife : No just tell me.... Husband : Okay, I am like a cell phone & you are my sim card, i am...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili. USHAURI please coz yamenikuta
0 Reactions
77 Replies
5K Views
Wana jf habari, nimeoa mke mwenzi wa tano mwaka huu na toka tuoane mara nyingi tumekuwa na migogoro inayosababishwa na yeye kutaka kunikaa kichwani nami nakubali ili kumaliza gugu, wiki...
0 Reactions
147 Replies
12K Views
Habari wa ndugu, Kuna watu wengi , wake kwa wauume wana tabia ya kupeleka matatizo yao ya kimahusiano(mapenzi au ndoa) kwenye mitandao ya kijamii ili kuomba ushauri. Wanapoongea wanajaribu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kati ya mwanaume mrefu na mfupi ni yupi anaekuvutia zaidi na kwanini? 1. Kama ni mrefu eleza ni kwanini? 2. Kama ni mfupi eleza ni kwanini?
1 Reactions
244 Replies
30K Views
Kama siyo ujumbe wa email kutoka JF walah leo ingepita bila kutambua kwamba nilizaliwa tarehe kama ya leo Niashukuru wana JF wote kwa namna tunavyodumisha udugu, urafiki na ujamaa baina yetu...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
ajua hautamani kusikia lolote kutoka kwangu kwa kuwa sina thamani tena kwako, thamani niliyokuwanayo kabla hujanipatia ujauzito mara mbili zote ukanisihi nitoe. Kwa sababu ninakupenda nilifanya...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Aliye tayari tuwasiliane pjhn367@aol.com
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…