Nahisi utaniacha mda wowote kwa sababu hujatumia gharama kubwa kwenye mahusiano yetu

Mlati

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
207
0
Wandugu habari zenu kiufupi nina mchumba wangu ambae tumeahidiana kuoana endapo mungu ataendelea kubaliki uchumba wetu kiukweli uyu dada nampenda sana sikumoja katika mazungumzo yetu nikijaribu kumdadisi kuhusiana na uchumba wetu wapi tunakosea na wapi tuko sawa ili tuweze kulekebishana katika mazungumzo yetu moja ya tatizo kubwa ambalo analiona ni kwamba katika uchumba wetu sijatumia gharama nyingi kwahiyo yeye anaona itakua rahisi mimi kusitisha mahusiano yetu. Nataka mnisaidie kunishauri juu ya jambo hili ni kweli kutoa pesa nyingi kwa mpenzi wako ndo njia nzuri kwako we mwanaume kuto muacha mpenzi wako au analake jambo
 

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
7,475
2,000
Mbona simple tu, Mnunulie gari na umkabidhi documents zote, hapo ataridhika.
 

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,329
1,500
Kaka unaingizwa katika matumizi ya kumhudumia taratibu. Yeye alikukubali akiwa na lengo fulani,sasa anaona wewe hujiachii kama yeye alivyotarajia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom