dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 623
kwanza napenda kuwaomba radhi kwa kuwapotezea mda wa kufungua zawadi zenu mlizopewa jana kwakuwa leo ndo boxing day.mimi ni mvulana niliyetokea kumpenda msichana mmoja hv jina kapuni,kwakuwa mi sio domo nzege nilimfuata na kumwambia ya moyoni also known as kumtongoza,lakini cha ajabu anasema ananipenda na hana mpenzi mwingine ila haiwezekani kunikubalia ombi langu, sasa huyu binti mbona cmuelew na ukichukulia anasem ananipenda tena sana,natanguliza shukrani.