Wanawake kama hamfanyi hivi, muanze sasa...

Mkami Lum

JF-Expert Member
Feb 23, 2013
416
0
Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia kumuangalia tu kwani alikua ananuka mikojo.
Jaman wanawake, kwa kuangalia maumbile yenu, kwanini hamjijali kwa kufanyia usafi?
Muwe mnajiweka vizuri.
Muwe mnatembea na TP/tishu mkimaliza haja zenu mnajifuta au mkikuta maji huko chooni muwe mnanawa. Vinginevyo mtatukosa tusiopenda uchafu
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Ulianza na huyo uliekutana naye? maana umekutana na mmoja unawajumlisha wote,usikute hayo unayoyasema hapa hata hukumwambia ajitahidi usafi unasubiri aondoke, mwambie awe anajisafisha si ni mpenzi wako!
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,933
2,000
mi huwa napenda sana kuwa muwazi hasa kwa mpenzi wangu!

kwa ishu kama hiyo, kama ingelikuwa ni mimi, ningelimnyoa usiku huo huo!!!!!

sasa hapa sijui umekuja kutangaza inneficiency zako katika mapenzi?

mi nakuterm kama mchafu pia, kwa sababu umeona eneo lenye uchafu, ukaliacha bila jitihada yoyote ya kulifanya usafi!

changes begins with you!
 
Mkami Lum

JF-Expert Member
Feb 23, 2013
416
0
Ulianza na huyo uliekutana naye? maana umekutana na mmoja unawajumlisha wote,usikute hayo unayoyasema hapa hata hukumwambia ajitahidi usafi unasubiri aondoke, mwambie awe anajisafisha si ni mpenzi wako!

Tatizo ni namna ya kumwambia, niliamua kumpotezea hadi akaondoka, ntajitahid nimwambie
 
promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,709
1,195
Sasa kwanini hamu ikwishe wakati ndio muda muafaka huo wakutafuta kuwembe ukaanza kukata nyasi,na hapo ndio ungeona raha yake kama ungezitia moto au ungezisubiri zikauke au ungeweka kama zawadi....
 
Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,793
2,000
mi huwa napenda sana kuwa muwazi hasa kwa mpenzi wangu!

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,952
2,000
Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia kumuangalia tu kwani alikua ananuka mikojo.
Jaman wanawake, kwa kuangalia maumbile yenu, kwanini hamjijali kwa kufanyia usafi?
Muwe mnajiweka vizuri.
Muwe mnatembea na TP/tishu mkimaliza haja zenu mnajifuta au mkikuta maji huko chooni muwe mnanawa. Vinginevyo mtatukosa tusiopenda uchafu

We! dogo " it seems it takes you a long time to appreciate anything"

source: Jamii forumSenior Member
Join Date : 23rd February 2013
Posts : 240
Rep Power : 392
Likes Received: 55
Likes Given: 0
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,341
2,000
mi huwa napenda sana kuwa muwazi hasa kwa mpenzi wangu!

kwa ishu kama hiyo, kama ingelikuwa ni mimi, ningelimnyoa usiku huo huo!!!!!

sasa hapa sijui umekuja kutangaza inneficiency zako katika mapenzi?

mi nakuterm kama mchafu pia, kwa sababu umeona eneo lenye uchafu, ukaliacha bila jitihada yoyote ya kulifanya usafi!

changes begins with you!

Kwa lugha nyingine jamaa ana 0 kwenye mapenzi

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,016
2,000
Wengine tunapenda kuwa na mavu.zi ndo starehe za shemeji zenu!!!!Atakayesepa na asepe nafuu ya mchukuz
 
Avatar Myg

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
675
195
Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia kumuangalia tu kwani alikua ananuka mikojo.
Jaman wanawake, kwa kuangalia maumbile yenu, kwanini hamjijali kwa kufanyia usafi?
Muwe mnajiweka vizuri.
Muwe mnatembea na TP/tishu mkimaliza haja zenu mnajifuta au mkikuta maji huko chooni muwe mnanawa. Vinginevyo mtatukosa tusiopenda uchafu

How old are you?
 
Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,019
2,000
Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia kumuangalia tu kwani alikua ananuka mikojo.
Jaman wanawake, kwa kuangalia maumbile yenu, kwanini hamjijali kwa kufanyia usafi?
Muwe mnajiweka vizuri.
Muwe mnatembea na TP/tishu mkimaliza haja zenu mnajifuta au mkikuta maji huko chooni muwe mnanawa. Vinginevyo mtatukosa tusiopenda uchafu

Harufu kunako maeneo is the huge turn off yaani nikiisikia game is over so pls ladies
 
mwantui

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
1,624
2,000
mi huwa napenda sana kuwa muwazi hasa kwa mpenzi wangu!

kwa ishu kama hiyo, kama ingelikuwa ni mimi, ningelimnyoa usiku huo huo!!!!!

sasa hapa sijui umekuja kutangaza inneficiency zako katika mapenzi?

mi nakuterm kama mchafu pia, kwa sababu umeona eneo lenye uchafu, ukaliacha bila jitihada yoyote ya kulifanya usafi!

changes begins with you!

Hii ndio jf bhana umempa live bila chenga..
 
LILENDI

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
1,400
0
ukiingia chooni (achana na public toilets) ukakuta kuna kinyesi, ukatoka bila kusafisha, halafu mlangoni ukapishana na anayeingia huko chooni. Akikiona kinyesi hicho atajua kuwa kuwa wewe ndiye uliyekiacha. over!

however, acha uzinzi!
 
City hunter j

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
927
500
bandugu hapo umekosea.Is like huyo mnuka mikojo uliyelala nae yupo humu.on spot ungemchana ili hajirekebishe.
 
mgeni10

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
1,109
1,195
Mkami Lum, Kama Hukumwambia makavu hujamtendea haki maana hayupo humu jamvini, na hujamsaidia. Pole kwa yaliokukuta
 
Last edited by a moderator:

Bra-joe

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,562
2,000
Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia kumuangalia tu kwani alikua ananuka mikojo.
Jaman wanawake, kwa kuangalia maumbile yenu, kwanini hamjijali kwa kufanyia usafi?
Muwe mnajiweka vizuri.
Muwe mnatembea na TP/tishu mkimaliza haja zenu mnajifuta au mkikuta maji huko chooni muwe mnanawa. Vinginevyo mtatukosa tusiopenda uchafu

wewe ni mvulana au mwanaume? Kama ni mvulana, itakuwa ulikutana na msichana. Kwa sisi wanaume huwa tukianzisha kitu ni lazima tukimalizie, ulitakiwa ule mambo. Mwanaume huwa hakimbii tatizo, bali ulitatua. Mapenzi ni kufundishana, kusaidiana, kushauriana, na kuwekana sawa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom