Ana kithembe......! Dah!

Ana kithembe......! Dah!

Status
Not open for further replies.

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,958
Habari zenu wana mmu!

I hope most of you now are opening boxes... Wishing a happy boxing day!

Sasa wadau, mimi leo sijui niite vipi, binafsi kithembe sikipendi kama nini!

Haya bwana, leo nimekutana uso kwa uso na toto very shaped from zanzibar! And she told me she is her in the city just for these holidays!

Binti wa watu hana nyodo wala mikogo, si mgum wa kuongea wala hakusita kuitika nilipotia neno moja baada ya lingine!

Jamani ghafla tu from nowhere nimejikuta nimempenda kwa muda!

Sasa tatizo hapa binti ana kithembe jamani, dah! Kila akiongea yani kwenye sa anaweka tha!

Wadau, sijaja kupigwa mawe hapa tafadhali!!!! Tuongeeni tu kwa amani, tatizo hili tunawezaje kulieliminate jamani?

Kithembe sikipendi kama nini!
 
mi ndo nawapenda hao mkuu hebu nipe link uone balaa lake
 
Aiseee...

Anza kukipenda tu mana huo si ugonjwa kama wa malaria kwamba utakunywa dawa utapona..

Au ambaye ana ushuhuda wa mtu aliyepona kithembe atuambie..
 
athante thithta!

Nshaanza kuadopt!
 
Kithembe hakiponi! Kwa mwanaume ndio hakipendezi ilakwa wadada poa tu
 
Hiyo sio ishu kubwa ya kukuumiza kichwa kama umempenda kweli.
 
Mwambie aongee English tu, yaani ni miracles huwa kinapotea tu chenyeweeeeeee.
 
Habari zenu wana mmu!

I hope most of you now are opening boxes... Wishing a happy boxing day!

Sasa wadau, mimi leo sijui niite vipi, binafsi kithembe sikipendi kama nini!

Haya bwana, leo nimekutana uso kwa uso na toto very shaped from zanzibar! And she told me she is her in the city just for these holidays!

Binti wa watu hana nyodo wala mikogo, si mgum wa kuongea wala hakusita kuitika nilipotia neno moja baada ya lingine!

Jamani ghafla tu from nowhere nimejikuta nimempenda kwa muda!

Sasa tatizo hapa binti ana kithembe jamani, dah! Kila akiongea yani kwenye sa anaweka tha!

Wadau, sijaja kupigwa mawe hapa tafadhali!!!! Tuongeeni tu kwa amani, tatizo hili tunawezaje kulieliminate jamani?

Kithembe sikipendi kama nini!

mawazo ya uzinzi yameshaanza!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom