alexmahone
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 482
- 408
Mi sio muabudu wa mambo ya jadi kutokana na malezi na mazingira niliyokulia.Mchumba angu ni msambaa ana chale za kutosha kifuani.Nimejaribu kumdodosa kwa kutumia lugha laini na kumpetipeti lakini wapi..!
Ingawa mwili ni mali yake na kwa ridhaa yake kaamua kuniruhusu nijisitiri kwake naye asitirike kwangu lakini bado ananipa maswali hasa vile sina dondoo hata kidogo juu ya hili swala.
Wanajamvi kwa wenye ufahamu na hii taaluma tafadhali akuje kunifuta ujinga maana mwandani wangu kagoma kabisa kuniambia..!