Je ni kweli haya???

Je ni kweli haya???

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Wakuu hamjambo;

kumsamehe na kuendelea na mpenzi wako hata kwa kosa la kukusaliti ni ishara kwamba una upendo wa dhati kwake.....kuna ukweli wowote hapa?
 
Hakuna ukweli.

akikusaliti, anategemea utamwacha, ukimwacha yeye kashinda, maumivu yanakuwa kwako.
Unasamehe, unaurudisha moyo wake, kisha unamwacha. Mpira utakuwa kwake, maumivu ya maamuzi yasiyotegemewa.
PLZ, don't try this @ home.
 
Kama ni mwanaume ni inshara ya kwamba Wewe ni ----- ila kama ni mwanamke ni inshara ya kwamba una huruma.
 
Kwani kusamehe mpaka murudiane?? Wewe samehe mara saba sabini lakini mwache aende zake
 
kiruka njia mkeo.jipange one day anaweza ingiza midume ndani kwako.
 
inawezekana sababu ya yeye kufanya hivyo ni wewe tabia zako mbovu so ukishagundua unaweza kusamehe
 
Back
Top Bottom