ubachela
nimeuchoka sasa nataka msichana/mchumba wa aina yoyote kabila ama dini
yoyote tupange wote maisha awe mkazi wa Dar ama Moro iwe rahisi elimu
sio kigezo awe anajua maisha tu, text...
-Nikiwa njiani kutoka mahakamani kusikiliza hukumu ya rafiki yangu aliyehukumiwa miaka 30 nyuma ya nondo kwa - kesi ya kubambikiwa ya kum-baka msichana under 18, msichana mrembo ananiomba lifti...
Hi Sisters around here, let me Repost my longtime letter, so that this young (materialistic ladies with reference to their post) can sit back and read.
For those who get a chance to read this...
Mod unganisheni hii na ile ya kwanza.
Baada ya kufika Bukoba yaani Nyumbani sasa, Mzee alienda kazini na Sisi tukabaki pale nyumbani, jioni mzee aliporudi alimuita ba mdogo na kumuuliza imekuwaje...
Kupigwa kibuti nilisha wahi pigwa na ninayempenda zaidi kwa kunitumia sms fanya mambo yako, mimi na wewe basi! sikupata kuumia kama hii sms ya mpenzi wangu wa sasa ambayo si ya kunipiga kibuti...
Jamani wana JF kuna jambo linasumbua sana kichwa changu nashindwa hata kulala na kufanya kazi zangu. Naomba mnipe mawazo yenu. Eti ''KULINGANA NA MAZINGIRA ULIYOPO nani kati ya MWANAUME na...
Mr salumu yasini nina ishi mbeya town natafuta mchumba mrembo awe na umri 18-20years na awe amesoma atleast form4 to form6,mm nasoma chuo jijini mbeya mwaka 2.wasiliana kwa namba 0657134330 or...
Kuna jamaa ana 30's kiumri, na mrembo binti wa umri kati ya miaka 16 mpaka 18 hivi, sasa jamaa anasema huyo msichana alipokuwa mdogo alikuwa akipenda sana kuwa naye karibu sana kiasi cha watu...
Katika uchunguzi wangu nimegundua asilimia kubwa ya wanaume waliooa hupendelea kunywa mtindi wa maziwa ,na mara nyingi hua ni baada ya chakula cha jioni. Sasa naomba nifahamishwe kazi ya ule...
Salamu ukumbini, nimerudi wamalenga
Nauliza uwanjani, majawabu sitopinga
Yametokea mjini, msiniifanye mjinga
Dini mbili harusini, ndoa gani tutafunga
Moja ya kuumeni, dini njema imefunga
Kijana...
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu...
Imenibidi kuwachagua hawa wawili wanieleze kama wanajua alipo emerald wangu anayeonekana hapo chini.
Nyie wawili nakumbuka mlikuwa marafiki sana na huyu mpenzi wangu. Tangu pasaka ya 2013...
Biblia inasema, "aonavyo Mtu Nafsini Mwake Ndivyo alivyo"
Je Unaona nini mwaka 2014?
Unaona Kushindwa au Ushindi?
Unaona Umaskini au Utajiri?
Unaona Nini?
Nakusihi kwa Jina la Yesu Kristo Mungu...
Kwa akina kaka/baba waliooa au wanaotarajia kuoa.
Mmeoa au mnataka kuwa na mke ili iweje?
Naona baadhi ya wanaume wakidai huduma mbalimbali kuanzia kupikiwa, kufuliwa, kuoshewa vyombo, kutunziwa...
Anang'ang'ana nimtoe out huku mi nimebanwa na kazi za watu.Hata mwaka mpya wenyewe sijauenjoy coz nilikuwa nafanya kazi ya serikali.Eti wajameni,hata kama nimapenzi ya dhati,niache kazi then...