hi

hi

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Biblia inasema, "aonavyo Mtu Nafsini Mwake Ndivyo alivyo"
Je Unaona nini mwaka 2014?
Unaona Kushindwa au Ushindi?
Unaona Umaskini au Utajiri?
Unaona Nini?
Nakusihi kwa Jina la Yesu Kristo Mungu ALIYE HAI,
Ona Ushindi,
Ona Utajiri,
Ona Baraka,
Ona Nguvu,
Ona Uzima,
Ona Ufumbuzi wa kila tatizo,
Ona Upendo na muone Mungu pamoja nawe alie upande wako unapomaliza mwaka 2013 na kuanza mwaka 2014. Happy New Year 2014.
 
Ameeeni nayaona mafanikio makubwa sana mwaka huu mungu nitie nguvu
 
Nayaona mafanikio makubwa mno we bwana neno Lako linatimie
 
Naona mafanikio na furaha ktk maisha yangu
 
Mungu mwema atatenda yote mumwombayo kwa Jina lipitalo majina yote(((( YESU KRISTO WA NAZARETI))))
 
Mods pelekeni hili kwenye jukwaa la Dini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom