Elizabeth Dominic na Kaunga: Hebu Nielezeni!

Elizabeth Dominic na Kaunga: Hebu Nielezeni!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Imenibidi kuwachagua hawa wawili wanieleze kama wanajua alipo emerald wangu anayeonekana hapo chini.
Nyie wawili nakumbuka mlikuwa marafiki sana na huyu mpenzi wangu. Tangu pasaka ya 2013 sijamwona wala sina habari zake. Naumia sana dada zangu naomba mnipe neno kumhusu.
AVATAR-EROTICA.jpeg

Kama mnazo habari kumhusu, na mnaona zitaniumiza niambieni kwa PM tafadhali.
Asanteni.
Mkimwona mwambieni nimebadili id. Siitwi hygeia tena ila sasa ni SHIEKA ie NISAIDIE.
 
View attachment 129609

Kama mnazo habari kumhusu, na mnaona zitaniumiza niambieni kwa PM tafadhali.
Asanteni.
Mkimwona mwambieni nimebadili id. Siitwi hygeia tena ila sasa ni SHIEKA ie NISAIDIE.

Sie wewe uliesema mnazaa mtoto?
na ukatutajia hadi jina lake ni lela mkenda i guess?
au?
ina maana hata sura yake huijui?
 
Last edited by a moderator:
Erotica.was erotic!una haki ya kumsaka.
The boss kaa kushoto watu wajitaftie mahalat wao.
 
hii isinikumbushe ile ya kutafutana kule jf intro..
 
Dah!! ndugu yangu hapa unatafuta kuumia tu...huyu dada.............................
Elizabeth Dominic lazima atakwambia tu ingawa na yeye tangia mambo flan hivi hili jukwaa kahama...mtafute kule siasani na muulize kila kitu.
 
Msamehe bure akiskiaga jina kaunga suruali lazma imbane.lol

bora umuambie
anaanzisha tu thread na kutaja taja wake za watu majina
hajui wenzie tunafilisika kwa kuinvest kwa mapenzi tu? lol
 
bora umuambie
anaanzisha tu thread na kutaja taja wake za watu majina
hajui wenzie tunafilisika kwa kuinvest kwa mapenzi tu? lol
Yan genye zake yy akupasue kichwa ww.mxiiiiiiou zake
we mtoa mada wacha kuumisa moyo wa hig bods bana anaweza pata kichomi cha nyonga sa hiz,yan the more unazid kuweka title na jina la kaunga the worse the hali.
Kwa hisani yako.mfanyie subra kidogo
 
Hujaona manyoya SHIEKA?

Basi ujue bado anaandaliwa!

Wahi wahi!
 
Last edited by a moderator:
Nilipishana naye mitaa ya Clinic flan. Ngoja nitamuuliza yule nesi aliyekuwa Zamu.....
 
Back
Top Bottom