ladies and gentlemen,
habari zenu?
i hope you are all well!
well,
from the heading,
iam a man aged 23 years old, a higher learning student. i managed to stay out of relationship with girls...
Hii inawahusu mabinti warembo, waadilifu na wachaMungu pamoja na wa kakawanaopenda kuwakuwadia Dada zao.
Maisha ni style na historia,baada ya kula bata sana katika dunia hii kwa miaka 28 sasa...
Heshima zenu wadau..
Ninaelekea singida katika mishe za kusaka ngawira,, na nitakuwa huko for 1 week,, ningependa kujua hotel nzuri ya kufikia na sehemu ambazo nitaburudika nikiwa huko
Wana Jf heri ya mwaka mpya, me mzima wa afya tele hofu kwenu, na imani kubwa sana kuwa mmeupokea mwaka 2014 kwa furaha kubwa, bila kupoteza muda tuuanze mwaka na kufanya mazoezi ya kukata kiuno...
Ni baada ya mjadala mrefu tuliokuwanao kuhusu "Imani za Kishirikina na Mahusiano ya Kimapenzi" ndipo nilipofikia uamuzi wa kuileta mada hii hapa.
Nukuu za wachunguzi wa masuala ya mahusiano ni...
Napenda kutoa salamu za kheri ya mwaka mpya kwa wale wote tuliokuwa nao ktk kubadilisha mawazo na uzoefu wa masaula ya mapenzi.
Lakini mambo haya yamenikwaza sana, hasa suala zima la ubaguzi na...
Kila siku kunazaliwa maneno mapya hapa MMU, kwa watu ambao niwageni wanakua wanauliza kwa mfano papuchi maana yake nini? nini maana ya kibamia? ili kuwasaidia watu wapya kujua mtu anamaanisha nini...
nishasikia sana story za wasichana kubaka wavulana katika zile story za mademu wenye hamu kubwa wawapo shule za single,imeelezwa mara nyingi kuwa ukijichanganya ukaingia humo hao wasichana...
Mimi ni mvulana wa miaka 27 ni mhitimu wa chuo cha kilimo.Mwaka jana niliingia katika urafiki wa mapenzi na binti mmoja.kwa kweli yule bint moja ya sababu iliyonifanya nimpende ni msimamo...
Lala1 ..Mdada nimekupenda sana kwa kuangalia avatar yako na muandiko wako hapa jamvini.nimekuwa nikikufuatilia sana humu jamvini sio siri maneno yako yamenifanya nikudondokee kimapenzi..nakiri...
Nilikutana na mdada mmoja mtandaoni; siku tulipopanga kuonana alinifanyia surprise. Kwanza alinambia nimuelekeze ofisini ndo aanzie (alitoka mbali ya nilikokuwa). Alifika ofisini tukasalimiana...
Nina mpenzi wangu tuna mwaka sasa katika penzi letu ingawa mwenzangu anaonekana kutonijali kama mimi ninavyomjali yeye ila miezi miwili iliyopita kuna msichana mmoja alitokea kunizoea sana...
Jamani nimeshindwa kuvumilia mapenzi nayopewa na huyu mtoto wa kichaga, ingawa ni kweli mke wa mtu mume wa huyu dada ni mtu wa kusafiri sana mikoa mbali mbali kwa biashara zake.
Tatizo limekuja...
Heri ya mwaka mpya kwenu nyote wana jamvi.
Natumai mu wazima na mmeuanza mwaka vyema, lakini kwakua katika maisha hatuwezi kua na furaha tuu, kwa wenye masahibu yoyote Mwenyezi Mungu awape...
Habar wana MMU
Nimejaribu kutafakar kidogo nikaona kuwa wadada wa MMU hawana ushirikiano unapo post uzi wa kuhitaji mwenza tofauti na kwa upande wao.
Naomba kujua tatizo ni nn au ndio mpaka...
Kutoka kwenye page yake Facebook " Joyce Kiria
Hakianan huu ujumbe nauleta kwako kwa nia njema kabisa kwa ajili ya kumaliza 2013.
we Mwanamke mwenzangu ambae mpaka sasa bado unategemea mwanaume...
Wasalaam wana MMU...
Mimi ni MUPYA humu, lakini sio mgeni! Sijui hata kama hiyo ina make sense lakini ndo hivyo. Nasema sio mgeni kwasababu nimekua nikija humu kwa lengo la kujifunza kutoka kwenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.