Kila mmoja anang'ang'ania awe ''JUU''. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mmoja anang'ang'ania awe ''JUU''.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chitemo, Feb 28, 2011.

 1. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jamani wana JF kuna jambo linasumbua sana kichwa changu nashindwa hata kulala na kufanya kazi zangu. Naomba mnipe mawazo yenu. Eti ''KULINGANA NA MAZINGIRA ULIYOPO nani kati ya MWANAUME na MWANAMKE kila day anatakiwa awe JUU ya mwenzie ktk maisha NDOA'' naomba kla mmoja wenu alete mawazo yake kulingana na TASWIRA aliyoijenga kichwani mwake.

  Note: be care wiz upper cases...!!!
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  usawa baba uko dunia gani wewe:rain:
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hamna anaetakiwa kua juu ya mwenzake!Ndoa sio mashindano!
   
 4. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kasome Biblia

  Adam alipewa mamlaka ya Kumtawala Eva.
   
 5. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  It is a missionary position and everyone of you has a right to be on top
   
 6. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Well said mama mchungaji ndoa sio mashindano bali maelewano kati ya wawili wapendanao kwa dhati sio waliolazimishana.
   
 7. A

  Annony Member

  #7
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Awe juu kivipi hebu fafanua! Kiuchumi, kielimu, kiutawala au? Maana Mungu alimpa Adamu msaidizi hakumpa mjakazi. So nachojua kwenye ndoa nikusaidiana na siyo maswala ya mtwana wala muungwana. Kikubwa kila mmoja ajue anawajibika kwa mwenzake.
   
 8. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Unamaanisha awe juu wakati wa tendo?
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Na ukiona mkeo anataka kuwa juu yako, au yuko juu ya mume wake, juwa kuwa huyo si Eva, ni black Adam. Tia akili
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Siku hizi maswali mengine hapa nakosa majibu ...
   
 11. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Mi sijaelewa kuwa juu katika jambo gani? Maamuzi, matumizi au kitu gani? Na kama ni usawa unaozungumzwa ni upi? au wenzetu nao wana haki ya kutoa mahali kama sisi? Aaa, aaa! mi nauliza tu nataka ufafanuzi kabla sijachangia.
   
 12. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jamani wababa na wamama mbona bado mnafura vichwa? Basi poleni sana. mi mwenzenu namanisha kuwa juu wakati tendo la ndoa! Nani anapaswa kuwa juu ya mwenzie regardless copying style 4rm western countries.
   
 13. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Baba ndio kichwa cha nyumba ndiyo maana hata mkuu mwenyewe yaani mungu tunamwita mungu baba!!na sio mungu mama halafu angalieni hata watoto wa mungu kwa waislamu mtume muhamad na kwa wakristo yesu maandiko yanasema wote hao walikua wanaume hakuna mwanamke mwenye miujiza so heshima mbele baba anatakiwa aheshimie kwani hata kama nyumba yako ikavamiwa na majambazi leo hii hutategemea eti mama ndiyo atoke akapambane nao no ni baba ndiye kichwa cha nyumba mbona ukweli upo wazi kwani ni akina nani wanaofanya kazi ngumu?na zinazotumia akili sana wewe angalia mpaka huko majeshini walio wengi ni akina nani na wanaopambana ni akina nani wanawake ni wachache sana ambao wanapenda kujiweka juu ya waume zao mie naona cha muhimu hapo anatakiwa kuwa juu ni baba ila cha muhimu kwamba kuwa juu isiwe ndio kigezo cha kugandamiza familia au kumkandamiza mwezako lazima kuwe na heshima wajameni!
   
 14. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Hivi watoto mbona wamezidi humu ndani???? :plane:
   
 15. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kuwa juu wapi, kwenye nini, kivipi?? Halafu maswali mengine bana majibu yanakuwa utata
   
 16. e

  ejogo JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inategemea na mazingira gani mliyopo na mpo katika hali gani. sometimes baba, sometimes mama sometimes sambamba!!
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  khaaa!
  Wote kuweni chini tena uvunguni.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa hizi ni PUMBA!!Kama huna cha maana siutuliie tu!!Kwani ni lazima na wewe uanzishe thread???:A S 13:
   
 19. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kila kitu mwanaume anatakiwa awe juu, hata kwenye mahanjuhanju mwanaume lazima apumulie juu.
   
 20. CPU

  CPU JF Gold Member

  #20
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Basi hapa MMU sio mahali pake. Nenda kule MyK utakutana na Maria Roza atakueleza staili za wote kuwa juu, chini pembeni, katikati na pembe zote za dunia
   
Loading...