Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,683
Wana MMU mnaotumia hii majamboz, kesho nitachinja kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya. Karibuni sana tujumuike. Ni PM nikupe location
Nakuja
We ndio utatuchagulia nani abebe bichwa la mdudu
Long time ago when the earth was still young, nilipanga nyumba moja na bwana mmoja akiitwa Hamis. Jamaa alikuwa na tabia ya kuingia chumbani kwangu au kwa mpangaji mwingine wa rika letu mwenyeji wa Mbeya akiitwa Asajile Mwangomo na kujipakulia chochote alichokikuta bila hata kukaribishwa.
Kuna siku alikuta kitimoto kwa Asajile na akala bila kujua, akaisifia mno. Tulipomwambia alichokula akasema: "Kumbe ni tamu hivi?" Hadi leo ni mshirika mkuu wa hiyo kitu.
mi napenda sana hiyo we ungesema ni wapi kuna wengine ni maustazi tunatumia kwa siri
Kweli kabisa nahitaji kusamehewa. Maana nisiposamehewa wachagga watanimaliza na bastola zao. Maana siku hizi ndio wamegundua kuwa Tukuyu ni tamu kuliko pesa
Naweza nisije kwa kukosa nafasi........lakini hala hala masikio niwekee......mimi mdudu bila masikio......hajanikamilikia..........
Long time ago when the earth was still young, nilipanga nyumba moja na bwana mmoja akiitwa Hamis. Jamaa alikuwa na tabia ya kuingia chumbani kwangu au kwa mpangaji mwingine wa rika letu mwenyeji wa Mbeya akiitwa Asajile Mwangomo na kujipakulia chochote alichokikuta bila hata kukaribishwa.
Kuna siku alikuta kitimoto kwa Asajile na akala bila kujua, akaisifia mno. Tulipomwambia alichokula akasema: "Kumbe ni tamu hivi?" Hadi leo ni mshirika mkuu wa hiyo kitu.
Sikukuu wapi mrembo?