Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanajamvi letu pendwa natumaini muwazima wa afya njema kwa ambaye mambo hayako poa pole sana,turudi kwenye maada ----------- Jamani wanaume wenzangu tuongee kiume,humu ndani kumetokea wimbi...
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Natumaini nipo jukwaa sahihi kabisa Wadau Sijaoa na sina mpango wa kuo kwakuwa sijapa mwena nipo bize na kufukuzana na shilingi kiasi kwamba ninanafasi usiku tu kuanzia juma tatu hadi jumapili...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Habarini wanajamviini, HERI YA MWAKAMPYA naomba leo nije na mada inayohusu Upendo. Wilhelm Luetgert anaandika katika ‘Maadili ya Upendo':Amri ya kupenda inaonesha kwamba upendo ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukiona upo ktk mahusiano yanayokufanya ulie kila siku,jiulize kama huyo uliye naye ni MPENZI au ni BOMU LA MACHOZI.
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Hi
"Bwana Mungu,nimetenda dhambi ktk mawazo,maneno na matendo.Naamini kwamba Yesu alikufa msalabani kwa ajili yangu.Namwamini sasa kama Bwana na Mwokozi wa maisha yangu.Nisamehe dhambi zangu zote...
2 Reactions
2 Replies
889 Views
Karibia na huu mwaka unaisha, watu wana usernames na Avatars za tofauti. Wengine wana username na avatars nzuri, zinazovutia sana mpaka huwa nawawazia kuwa ndivyo walivyo. Mfano Smile, Sweet...
12 Reactions
399 Replies
25K Views
Mm ni kijana natafuta mke wa kuoa sijali umri wala dini,mnene sana nitampa kipaombele,aliye tayari 0767 777071 au bameclline@yahoo.com Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana jamvi? Mara nyingi nikisoma threads na comments za watu humu huwa lazima niangalie jina la muhusika ,nini kilikufanya uwe na username ulonayo? Ni jina la role model wako?Ni kitu...
2 Reactions
176 Replies
12K Views
Habari wana mmu! Kale ka weekend kalikopewa baraka na raisi wetu kipenz ndo kanaendelea taratibu... Nisiwachoshe!!! Tusikilize kwa pamoja na wapenzi/wake zetu huu wimbo ALL OF ME-JOHN LEGEND...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kulinganisha na waBARA wewe utachagua yupi? na sababu zako ni zipi? be free kueleza kila kitu mfano napendelea wanawake wa Tanga kwa sababu wana apply theory na practical lakini...
0 Reactions
74 Replies
28K Views
Nipo pande za tanga hapa, mdada alie tanga, ani pm tuweze kutengeneza relation
0 Reactions
0 Replies
843 Views
wanajamvi matafuta rafiki wa kike wa kuchat nae awe anatokea mikoa ya iringa,mbeya,lindi na mtwara!mawasiliano zaid kwa 0788225445
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu...
0 Reactions
83 Replies
9K Views
kiukweli mda wangu umefika ss wa kutaka kustick na one guy atakaenipenda nimpende mpaka kufa!sifa awwe anajitambua,smart boy,employed or self employed,hofu ya Mungu ila awe mkristo!nimeshawahi...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
Utakapobambwa na mpenzi wako tena kwa ushahidi kabisa utatamani ardhi ipasuke utumbukie ndani, Mimi naapa sitorudia tena maana yamenikuta mzee mwenzenu,,,, kabla ya huyu wa sasa nimpendaye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke wa kuishi nae, umri nikuanzia miaka 19-23 Vigezo; [1] Awe bint wa kiarabu•√ [2]Atoke ktk familia yyt ile ya kiarabu•√ [3] Awe anaishi baharini•√100% [5] Awe na...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
nipo h0me na m'babez waukweli macho mazuri kapendeza kinoma tuna sikiliza sweet raggel when you gone ya cecile inasikika kwa mbaliiii ila hakuna kugegedana asee chalii nimesizi.... kumbe ujana ndo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee :pray2::pray2::pray2::pray2::pray2::pray2::pray2::pray2::pray2::pray2:! Basi bwana kuna mke wa mtu mmoja juzi kanichoshaaaaaaaaaaaaaaa! Huyu mke wa mtu aliolew...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Heri ya mwaka mpya uliebahatika kusoma hapa,wanajamvi mimi ni mwanaume kila mwanamke nnaejaribu kumtongoza hua nampata kweli haruki kamba si kama najisifu ndo maisha nnayoyaona kwangu nikijaribu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU... najua wengi mtasema hapa si mahala pake, lakini mimi naona ni sahihi kabibisa niiweke hii mada hapa kwa sababu nini mapenzi mema na nchi yangu!! kwa kweli mimi ninachoshwa...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Back
Top Bottom