Nini kili inspire Uwe na Jina hilo humu JF?

Candy kisses

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
297
Reaction score
211
Habari wana jamvi?
Mara nyingi nikisoma threads na comments za watu humu huwa lazima niangalie jina la muhusika ,nini kilikufanya uwe na username ulonayo?
Ni jina la role model wako?Ni kitu unachokipenda? Ni kifupi cha jina lako?
Kwa kuanzia tu mimi Candy Kisses ni wimbo niupendao sana ndo maana ni user name yangu.
 
Tatizo nina kawaida ya kusahau sana hebu ngoja nikumbuke ....!!!!!!
 
Weka kwanza picha!

images
 
Miye nlipewa na babu yangu mzaa bibi babake mkubwa bibi!
 
Habari wana jamvi?
Mara nyingi nikisoma threads na comments za watu humu huwa lazima niangalie jina la muhusika ,nini kilikufanya uwe na username ulonayo?
Ni jina la role model wako?Ni kitu unachokipenda? Ni kifupi cha jina lako?
Kwa kuanzia tu mimi Candy Kisses ni wimbo niupendao sana ndo maana ni user name yangu.

Ni akina Mama Kayayii, Masaku, Otorong'ong'o, Mzee Ojwang, Maliwasa na wengineo, kwenye miaka ya '90-93 kabla hata ya kuwa kuna kituo cha kurusha matangazo ya TV Tanzania
 
Back
Top Bottom