WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
1,639
Reaction score
519
Karibia na huu mwaka unaisha, watu wana usernames na Avatars za tofauti.
Wengine wana username na avatars nzuri, zinazovutia sana mpaka huwa nawawazia kuwa ndivyo walivyo.
Mfano Smile, Sweet, Charminglady, PF
Wengine wana usernames na avatars zinazotisha kiasi kwamba huwa nawawazia kuwa ndivyo walivyo.
Mfano Hamnazo, Gambas, Mlevi,

Kabla mwaka huu haujaisha, naomba tujuane kijamii forumn.
Kwa nini ulichagua hiyo username na avatar hiyo?

Naanza na mimi mzee wa kazi LINCOLINMTZA
Username ni kwa sababu ya raisi wa Marekani aliyekuwa na busara sana bwana Abraham Lincoln
Abraham Lincoln - Wikipedia, the free encyclopedia

Avatar ni kwa sababu napenda watoto ambao ni taifa la kesho.

Wewe je?
 
Just a coincidence nimetumia hii username!my avatar defines my look somehow!!
 
Nadhani username yangu ni maarufu hapa nchini. Ila kuna mtu anaitwa Lizzy hupenda kuniita Nitty
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaaaa!
Username ya Mashaxizo inatokana na Mashaka! However Mashaka sio jina langu na sina hata jamaa or frnd mwenye hilo jina!
But i have expirienced many difficulties in my life save love!
...
Avatar:
hihihiii! Naipendaga sana hiyo picha! Na kwa wanaonielewa wengi wao wanakubali nareflect with that avatar!
Chezea king of jungle weyee!
Nusu mtu nusu zombie!
So usiombe udondokee kwenye hiyo nusu ya uzombie!
...
Naelezea hadi signature!
Aaaagh kume sina ruhusa hiyo! Chaaaao!
 
Ya kwangu imetokana na wimbo wa wenge bcbg unaitwa banalunda huwa naupenda sana na avatar yangu u can feel it how much i love my .....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom