Nina miaka 23, niko mwaka wa kwanza wa stashahada ya ualimu, natafuta mchumba mwenye umri chini ya miaka 22 ambaye hajali uwezo na kipato cha mtu.
Sibagui rangi ya ngozi whether albino or not...
kwa watoto wa kike wao hukimbilia kusema 'eti uliukuwa hunipendi ila nia yako ulikuwa unataka kunichezea tu'mara tu pale anapoachwa na bwana ake!!je kwa wanaume walioachwa na wapenz wao hukumbilia...
KAKA: Sweety mambo?
MDADA: Poa asante
MKAKA: Samahani dada, mimi ni kijana
ambaye nimekuwa nikikufuatilia kwamuda
sasa, na nimegundua wewe ni mtu ambaye
ningependa uwe mke wanguniishi nawe...
Sina mazoea nae lakini kilicho tokea mpaka leo siamini,ni mdada mtu mzima tukiwa na mazoea ya stori za apa na pale siku moja ilitokea akiwa anarudi kazini nikamwomba nimsindikize hadi kwake bila...
Afya za watanzania wengi zimeimarika zaidi au zinazorota?
Maana katika miaka ya karibuni nashuhudia kuongezeka kwa jamii ya watu wenye miili mikubwa yaani tipwatipwa.
Sijui kwanini nimeona hali...
Nilikuwa nikisoma jarida moja linkielezea ni vipi mwnamake anaweza kutunza matiti yake yasianguke nikaona ni bora wadau wapitie kipengele hicho na kunagaila ni vipi wanaweza kutunza ulimbwende...
Natafuta mwanamke kuanzia miaka 25 mpaka 35 awe mkristo...Kabila lolote.Mimi ni mtanzania niliyekaa nje ya nchi(Europe)kwa miaka mingi ,nimerudi nyumbani kuishi na anayehitaji anipm tutaanza na...
Habari zenu wadau, Leo kuna swala moja ambalo naomba tusaidiane kuweka mambo sawa. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuzaa/ kuwa na mtoto/watoto kabla hatujaoa/kuolewa. Je...
Imetokea ktk Wilaya ya Same,katika Jimbo la Same Magharibi katika kijiji cha Makanya,bibi kizee mwenye umri wa miaka 90(Jina linahifadhiwa) amebakwa na watu wasiojulikana mpaka kuvunjwa kiuno...
Dah!!!
Nlikuwa naiskia tu kwa jirani ila ndo ishabisha hodi kwenye boma!!
Mangi bana katusua huko!
Na imebid tu nijue,nshacurse sana na kuvimba ila ndo ishakuwa!somewhere kipande cha wapi sijui...
Hivi katika hali ya kawaida kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaambukiza wengine virusi vya Ukimwi kwa makusudi. Nini kinasababisha mtu kuamua kusambaza virusi vya Ukimwi kwa makusudi?swala la...
Smartphone imeleta kizaa zaa kwenye familia yangu. Sasa mambo mengine ya kifamilia hayaendelea. Muda wote kwenye blogs, facebook, instagram, twitter na whatsup. Yaani House girl ndo amekuwa mama...
Natafuta mchumba mungu akipenda awe mama watoto.
Sifa:awe na umri kuanzia miaka 20-25,na sifa za kike za kusisimua mwanaume.mengine tutaongea wenyewe.tuwasiliane 0715444439 na sms. Serious wadada.
je UTAFANYAJE PINDI UNAPOKUWA UMEISHA NA MWANAMKE AU MWANAUME AMBAYE UMEISHI NAYE KWA MUDA WA MIAKA 5 NA MNA WATOTO 2 NA ULIISHI NAYE KWA KUMVUMILIA SANA UTACHUKUA MAAMUZI GANI NA UMEJARIBU...
hi ni kauli ambayo mabinti weng huitamka pale mambo yanapoenda mlama,swali dogo la kujiuliza hv ktk kale #kamchezo hiv ni wao tu ndo huwa #wanaochezewa ?au huwa #tunachezeana ?mbona wanaume...
Nimempigia simu mpenzi wangu nikakuta yuko bize alaf akantumia text baada ya lisaa lizima eti anaomba msamaha, nikamgombeza adi akalia na mwisho wa siku nikaona kama nimekosea kumgombeza! Je hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.