Tuendelee na weekend kwa wimbo huu

Tuendelee na weekend kwa wimbo huu

reg edit

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
403
Reaction score
506
Habari wana mmu! Kale ka weekend kalikopewa baraka na raisi wetu kipenz ndo kanaendelea taratibu...
Nisiwachoshe!!!
Tusikilize kwa pamoja na wapenzi/wake zetu huu wimbo
ALL OF ME-JOHN LEGEND
Ukipata na lyrics sio mbaya
Mapumziko mema mmu!!
 
shukran kwa wimbo mkuu.....lakini sio kila mapumziko ni weekend. leo ni weekday ila ni public holiday.....mapumziko mema kwako pia
 
Nilishasahau... hapa nawaza jumatano ndio blue monday hlf alhamic tunajiandaa tena na weekend
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom