Nifungueni ufahamu wangu!

Nifungueni ufahamu wangu!

sylvesterwille

Senior Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
172
Reaction score
41
Natafuta mwanamke wa kuishi nae, umri nikuanzia miaka 19-23
Vigezo;
[1] Awe bint wa kiarabu•√
[2]Atoke ktk familia yyt ile ya kiarabu•√
[3] Awe anaishi baharini•√100%
[5] Awe na mapenzi ya kweli asiwe m'babaishaji•√
[6] Awe tayari kutoka nae sehemu yyt ile nitakayoitaji kwenda nae•√
[7] Awe tayar kunickliza shida zangu zote zitakazokua ndani ya uwezo wake•√
[8] Awe amekamilika kiuzr, kuanzia sura mpaka umbo lake liwe lakuvutia sanaaa•√
[9] Awe tayar kunikubalia niwe na msichana mwingine mmoja tu wa pembeni•√
[10] Asiwe mwingi wa hasira•√
...........vigezo na mashart yakwake nitayakubali ilimradi icwe vikwazo sana ikapelekea nkashindwa kutekeleza!!!
By mimi
Namba zangu hzi hapa↓↓↓
+255787117060
Cmu zitapokelewa ujumbe zitabiwa!!!

Im Serious kabisa
Ninamategemeo ndani ya masaa 72 nitapata majibu ya omb langu•
 
naona mnahalalisha wanawake kuwa vyombo vya starehe kama bar na kumbi za disco!!

kumbe ndo maana mnageuzwa nanii ili waarabu wazidi kuongeza mabasi mabarabarni!!

endelea tu kutafuta mwanamke wa kiarabu..!!
 
Kusadikika ni nchi iliyoko chini ya mbingu na iko juu ya dunia !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe waarabu wanaishi baharini !!!!
 
Back
Top Bottom