Wanawake wa PWANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa PWANI

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mzaramo, Jun 3, 2008.

 1. mzaramo

  mzaramo JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2008
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 6,259
  Likes Received: 4,266
  Trophy Points: 280
  Kulinganisha na waBARA wewe utachagua yupi?

  na sababu zako ni zipi?


  be free kueleza kila kitu

  mfano napendelea wanawake wa Tanga kwa sababu wana apply theory na practical lakini wanawake wa Visiwani wao ni watiifu na wazaramo...well wanakuwa wamechezwa na hilo muhim sana kwangu

  maoni yenu tafadhali
   
 2. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2008
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  bana mie napendelea wa pwani maana wale ukiwapata aisee yakhe, umewini !
   
 3. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hapa unatafuta mke au?
   
 4. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2008
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ha,ha Mkuu hapa mimi naona chaguo langu hasa Uchagani ila sasa isewe mpalestina tuu hapo nachukua jumla maana najua nikioa basi ndio wa kwangu jumla sasa wewe chukua wa Pwani mwana uone ukimfokea kidogo au kumkataza kupaka HINA tu anarudi kwao.
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2008
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  meeeeeeeeeeen pwani ndio kwenyewe.Si unajua mambo fulani ya nyumba kunukianukia na kula lunch na playback ya taarab!
  Ukimnunulia doti mpya ya kanga tu karidhika!
  meeeeeeeeeeen pwani ndio kwenxewe.Ila ukioa mke wa pwani usiwe mvivu katika "masuala fulani", utajilaumu.
   
 6. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mh!!! Bora niende usukumani (ndio mnaita bara???) hao wa pwani mambo ya mafiga matatu noma mkuu!!!
   
 7. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2008
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  meeeeeeeeeeen si mchezo. mafiga matatu balaa usawa huu.Ila hiyo nasikia ni uazaramoni tu!Uzaramoni noma kuna ishu za shabu kule.
   
 8. Kisura

  Kisura JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2008
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 363
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  EEh mzee hapa looh:), hivi wapalestina ni vipi, hehehe, sasa nanma hii ndio hatuolewi jamani, kaaazi kweli kweli...

  Kama nimechanganya na Lake Zone je, italeta ahueni au ndio nilie tu?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jun 3, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Mimi sibagui wala sipendelei ili mradi uwe kisura tu.....
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  chaguo langu ni huku:

  [​IMG]
   
 11. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  makuu haya sawa jichagulieni mie nishakusanya mkisiwani mwenzangu twaendesha maisaha ila sina uhakika na sehemu nyengine maana sijawahi kuwa na uhusiano nao.


  kwa haraka mambo ya mila na utamaduni yanachangia sana katika maamuzi, wengine kwao vikuba, udi, viluwa, liwa na mengineo usisahau athumini na hina kwao ni vitu vya muhimu sana na wengine li luxury sasa hapo pana kasheshe kabla ya kuamua unatakiwa kudodosa mila za watu uwatakao
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  udi muhimu sana kwangu na inabidi uwe from Malaysia
   
 13. Kidzogolae

  Kidzogolae Senior Member

  #13
  Jun 5, 2008
  Joined: Apr 20, 2008
  Messages: 134
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi huku pwani waweza kumkuta hata mmoja ambaye ni bikira?kama sio bikira, utakuwa na uhakika gani kama mtu wake wa zamani umemzidi kiufundi?, nataka kumaanisha kuwa, kama mtu akioa mtu wa pwani, ajue kuwa anacho kibarua kigumu sana. kwasababu karibia wote wamemiminiwa zaidi ya mara mia tano. ila, huwezi amini, mkoani, nimekuta wanawake kibao wenye umri miaka zaidi ya ishirini mabikira. mimi ndo napenda hao, na nikaamua kuoa huyo. ndoa yake ni tamu sana, kwasababu anakufahamu wewe tu, na ni waaminifu na waoga kinoma.

  najua wengine mtanipinga kuwa labda niliona kama siko fiti, nikaenda kumchukua mlemavu ktk mambo hayo ili tufanane, sio, nilishakuwa na watu wa huku kibao. ila nilikuwa nawachezea tu, nilikuwa sitaki kuwaoa, kwasababu nilikuwa naona kinyaaa, nikilala nao, najua kuwa, hata wenzangu wameshalala nae hadi wamemchoka, yeye ni kama chombo tu cha starehe kwa wanaume wengi, na si ajabu pale tulipolala anamfikiria mwanaume mwingine. nilikuwa nahisi kama nimelala na sanamu tu, pamoja na kwamba wana ufundi na uzoefu mkubwa. ndo maana nikaamua kubeba mzigo mpyaaaaaa, mimi mwenyewe namfundisa na anafundishika. hivyo, wanawake wa pwani siwataki hata kuwaona.

  Pili, wewe unaesema wapalestina, mimi hao jamaa, wanapendeleana sana wao kwa wao, ukioa hao utakuta ndugu zake wanaume kibao wengine hujui kama ni ndugu zake au la. halatu wanakuwa wanakutageti, ukilala usingizi tu kwenye maisha, ukawaachia pengo fulani wanatengeneza maisha, wanapandisha mabega afu ile mali yote hata kama wewe ndo ulimuanzishia anajua yakwake. anatafuta namna ya kukulipua ili amchukue mpalesina mwenzie au mtu yeyote anaempenda. LAKINI SIO WOTE. huwezi amini hadi wanaume wao wenyewe wanawakimbia..hahaha. ila nimesema sio wote.

  wanawake wa pwani, sipendi mapishi yao, kwasababu hata kama wakifanya michuzi mingi, wanapenda sana kula mafuta mengi/chachandu zao hizo. wanajua kupika chakula kitamu, ila sio chakula chenya afya. sikia hapo?....
   
 14. Kidzogolae

  Kidzogolae Senior Member

  #14
  Jun 5, 2008
  Joined: Apr 20, 2008
  Messages: 134
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi huku pwani waweza kumkuta hata mmoja ambaye ni bikira?kama sio bikira, utakuwa na uhakika gani kama mtu wake wa zamani umemzidi kiufundi?, nataka kumaanisha kuwa, kama mtu akioa mtu wa pwani, ajue kuwa anacho kibarua kigumu sana. kwasababu karibia wote wamemiminiwa zaidi ya mara mia tano. ila, huwezi amini, mkoani, nimekuta wanawake kibao wenye umri miaka zaidi ya ishirini mabikira. mimi ndo napenda hao, na nikaamua kuoa huyo. ndoa yake ni tamu sana, kwasababu anakufahamu wewe tu, na ni waaminifu na waoga kinoma. wakati mwingine hadi wewe mwenyewe ukiwa unataka, wanakuwa bado wana kale kauoga ka ku.....,umepata hiyo?

  najua wengine mtanipinga kuwa labda niliona kama siko fiti, nikaenda kumchukua mlemavu ktk mambo hayo ili tufanane, sio, nilishakuwa na watu wa huku kibao. ila nilikuwa nawachezea tu, nilikuwa sitaki kuwaoa, kwasababu nilikuwa naona kinyaaa, nikilala nao, najua kuwa, hata wenzangu wameshalala nae hadi wamemchoka, yeye ni kama chombo tu cha starehe kwa wanaume wengi, na si ajabu pale tulipolala anamfikiria mwanaume mwingine. nilikuwa nahisi kama nimelala na sanamu tu, pamoja na kwamba wana ufundi na uzoefu mkubwa. ndo maana nikaamua kubeba mzigo mpyaaaaaa, mimi mwenyewe namfundisa na anafundishika. hivyo, wanawake wa pwani siwataki hata kuwaona.

  Pili, wewe unaesema wapalestina, mimi hao jamaa, wanapendeleana sana wao kwa wao, ukioa hao utakuta ndugu zake wanaume kibao wengine hujui kama ni ndugu zake au la. halatu wanakuwa wanakutageti, ukilala usingizi tu kwenye maisha, ukawaachia pengo fulani wanatengeneza maisha, wanapandisha mabega afu ile mali yote hata kama wewe ndo ulimuanzishia anajua yakwake. anatafuta namna ya kukulipua ili amchukue mpalesina mwenzie au mtu yeyote anaempenda. LAKINI SIO WOTE. huwezi amini hadi wanaume wao wenyewe wanawakimbia..hahaha. ila nimesema sio wote.

  wanawake wa pwani, sipendi mapishi yao, kwasababu hata kama wakifanya michuzi mingi, wanapenda sana kula mafuta mengi/chachandu zao hizo. wanajua kupika chakula kitamu, ila sio chakula chenya afya. sikia hapo?....
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  hahaha kipenda roho hula nyama mbichi na je vp kule kwa wanyakyu MB?maharagwe ya MB na hapo kwa wanyalu nako vp?mmh wazee kwa kina Nnjomba Nkapa nao wamo mmh! ahaa hapo SIng kwa wanyaturu nako duh ukirudi nyuma kidogo kwa wamatonya na hawa warangi dah balaa unaweza ukaoa kila ukanda manaake duh!
  walio wahi kuoa hawafaidii kizazi hiki kipya cha JK kila aparatus/tool bomba kwa experiment.Kazi kwenu vijana.
   
 16. M

  Mkiwa Member

  #16
  Jun 5, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pwani kuna raha yake jamani, utanajua hapa cha kuangalia ni handlering si mwajua pwani kwa mahaba, waweza kuwa huna hata senti lakini ukajiona tajiri kwa kubembelezwa.
  Mambo ya pwani ni Pole, Asante na Samahani ila sasa umkute aliyefundwa akafundika na mzoefu wa kumlea mwanaume babu.

  Kungwi lao!
   
 17. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mtazunguka bucha zote nyama ile ile....!!!
   
 18. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo hayo; Endelea, naona Tanga Swafi, unalyze, unadesign, implement na ku-comercilize juu !! Huwa wanatulia huku wakitoa mambo swafi
   
 19. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2008
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Swala mi nadhani kwa sasa hivi maisha yamekua mno magumu. Pamoja na Mahaba pia lazima uwe na mwanamke ambaye mtazalisha mali kwa pamoja na kwa njia halali. Mwanamke wa pwani sikatai ila tatizo kubwa muda mwingi wanamalizia kwenye kujichora wakati hawajapitia vyuo vya sanaa,pia mafiga matatu badala ya kufanya kazi,ukikosa hela ya chumvi tu mzee umeumia.

  Nawashauri wengi wenu muende Uchagani kuanzia ukanda wa Marangu kuelekea Rombo Tarakea. Ukimpata wa Rombo ni vizuri zaidi.Huyu ni mchapa kazi sana na pia shule imo. Ukiazia ofisini wapo, kama ni utaalamu wa kilimo utawakuta. Mwanamke huyu kama mnapendana kwa dhati sii rahisi kukusaliti.Kimahaba wako juu pia hawana mafiga matatu.

  Kinachomfanya mwanamke wa pwani kua na ujuzi wa kimapenzi ni kuwa na mafiga matatu wengine siku hizi hadi 10. Kwa kila atakayekumbana nae anampa style tofauti, sasa wewe wa ndoa ukizipata hizo hizi unadhani anajua mapenzi kumbe unaibiwa
   
 20. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2008
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Coleta nakungoja uanzise shule ya mahaba hapa JF, maana duh si mchezo.
   
Loading...