Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,705
- 14,403
Natumaini nipo jukwaa sahihi kabisa
Wadau
Sijaoa na sina mpango wa kuo kwakuwa sijapa mwena nipo bize na kufukuzana na shilingi kiasi kwamba ninanafasi usiku tu kuanzia juma tatu hadi jumapili
Hebu nisaidie kutupia site nzuri ya ONLINE DATING yenye wabongo wengi kama unaijua nijitafutie vimwana pengine naweza kubahatisha