Hapa sijaelewa!! does it mean she is pregoo for real for real??
aisee kweli mjini hapa! juzi nimeona clip yake aliyoipost insta ye na diamond na habari zasema wamerudiana!
kiukweli namuonea huruma...
kuna binti mmoja tunasoma naye chuo kimoja hapa nchini tumeaza chuo mwaka 2011 sasa tuko mwaka wa tatu nilipo muona tukiwa mwaka wa kwanza nilimpenda sana lakin akaniambia yeye anamtu nakwakua...
personally me 2013 am a gay haters.
the following comments regarding homosexuality that Robertson, 67, made to GQ magazine this month.
"It seems like, to me, a vagina -- as a man -- would be...
habari wapendwa,naomba msaada wa kina nimezaa na mwanaume matarajio ye2 ilikuwa 2funge ndoa lkn haikuwa ridhki amefnga ndoa na m2 mwingne pacpo kunijulisha kwa sasa mtoto ana miaka 3 hvyo anahtaji...
Eeeezy! I hope wote ni wazima,naitwa Sean,nahitaji marafiki pls,mie napenda muziki,kuogelea,beach na mambo mengine mazuri. If u need a friend who can support u(with ideas haha)share experience and...
Am new here, najua wengi wa wanawake ni wapenda pesa zaidi ila mimi nahitaji demu yeyote asiyetanguliza pesa mbele.
Make sure u r under 23 yrs down, no educational status required.
Any woman who...
Wadau nisaidieni kwa hili, mrefu, mfupi, mnene, mwembamba, mwenye hips, asie na hips, mwenye nyonga kubwa, asie na nyonga kubwa/..ndogo, mwenye big boobs, big buttocks e.t.c,,,,, ni yupi kati ya...
Ilikuwa kama saa nne usiku ambapo Julius alipigiwa simu na dada mrembo amabye anampenda kwa moyo wake wote lakini kila akijaribu kumweleza hisia zake binti mrembo hamwelewi, alipopokea akasikia...
Jaman mi ni kajana mwenye umri wa miaka19 nipo mombasa nimetokewa kupwendwa na mama mwenye umri 38 nifanyanyeje na wazazi wng wakijua watanfunga segerea wasamaria
Wanabodi heri ya mwaka mpya kwenu wote
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwepo hapa kwa muda mrefu kidogo...Lakini pia niwashukuru nyote kwa kunipokea. Tumeishi vizuri na mmekuwa msaada kwangu...
Wanajukwaa salaam,
Mwenzetu amu anaumwa
Typhoid inamsumbua, she is medicated so yupo na dozi!
Tumwombee na tumtakie heri arudi kwenye afya njema!!!!!
Get well soon amu
habari zenu wakuu natumaini mko poa najitokeza hapa kuulizia jambo moja mfano unamgegeda demu then anagoma kuendelea kwakusema amechoka na anapata maumivi huwa anamaanisha nini au machukizo ama nini?
Hivi huwa mnajisikiaje unapomfokea mume wako kama mtoto mdogo tena mbele za watu? halafu utakuta mwanaume kanywea kama kalowa maji, inasikitisha sana ndoa za sasa hivi hazina tena mwanamke...
Wanajamvini habari za jioni.
Kuna jambao ambalo limekuwa likinitokea mara chache2 leo nikasema ni bora niliweke hapa ili kujua kama ni kwangu tu na je kama ni kwangu ni tatizo au ni hali tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.