Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 48
nipo h0me na m'babez waukweli macho mazuri kapendeza kinoma tuna sikiliza sweet raggel when you gone ya cecile inasikika kwa mbaliiii ila hakuna kugegedana asee chalii nimesizi.... kumbe ujana ndo upo hivi? asee ni sheeeda a.k.a problem
[kanituma niwape hizi habareeee]
[kanituma niwape hizi habareeee]
