Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikuwa nasikiaga tu fulani katepeliwa ila leo yamenikuta nimetapeliwa kweupe na mtu namfahamu kabisa yani hta aibu haoni kwa jinsi alivyolaaniwa..ntaleta picha yke very soon mumjue..kuweni makini
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wababa wa Kitanzania mnayaweza kweli haya? Wangapi kati yenu mshawahi hata kuzibana nywele za mabinti zenu? Hii habari nimeitoa Yahoo. Hii picha ilienda viral baada ya jamaa kuiweka kwenye...
11 Reactions
70 Replies
8K Views
Tuacheni maskhara kabisa Jamani, mkiwa kama wanandoa au wapenzi mnaoishi pamoja chupi ya nini kitandani??? Kwani unataka kuninyima nini? Achia mamboz yawe free to air nikijisikia napanda...
10 Reactions
228 Replies
26K Views
Nilimuheshimu sana shemeji yangu, lakini majuzi sikuamini aliponifuata katika chumba changu saa 7 usiku, tukiwa hotel moja serengeti park tulikokuwa kwa ajili ya mapumziko, ni mke wa rafiki yangu...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Mwana JF Mwenzetu charminglady amepata health complication na amepumzishwa Aga Khan Hospital leo asubuhi. Tumuombee mwenzetu apate uponyaji wa haraka ili aweze kurudi jukwaani na kuisongesha JF...
11 Reactions
93 Replies
7K Views
Notify me, if you wish
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Cha kushangaza ni kwamba, wasichana wanaofaulu kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuolewa ni lazima wafaulu vipimo vya maambukizi ya HIV. Wale wasichana wanaoonekana wameathirika na Virusi...
2 Reactions
59 Replies
4K Views
Wazee wa JF,Nategemea kwenda kikazi Shinyanga kwa takribani siku 30,wakuu mnaoijua vema shinyanga sehemu gani ambazo kuna viwanja vya kupoozea mihemko ya mwili.Please let me know wadau
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha! Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna Misimamo wala Future. Jitu...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Upweke utaniuwa,nahitaj msichana au mdada anayehitaj kuwa na mtu/mpenz wa kupendana nae lakn pia kupeana furaha na raha.Naitwa Sam,umri wang miaka 24,naish dar es salaam,Airport kipawa.kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu kichwa cha habari chahusika!!!!!! Mie nimezaliwa miaka 25 iliyopita kwa sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa dar es salaam. Tangu nizaliwe miaka 25 iliyopita mpaka sasa baba yangu simjui...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Naomba Niulize Wakati Tunamuomba Mungu Tunavyo Sali Sala Zetu Hivi Huwa Tunaomba/Tunamwomba Na Yeye Anapanga Au Asipange Mambo Yatokee Mbeleni (Mafanikio Yetu)? Au Tunaomba/Tunamwomba Mungu Na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
njia ni rahisi tu mwambie akupeleke kwa wazazi wake au aje kwenu kujitambulisha kabla ya game hasa uende kwao lakini uwe makini maana anaweza akaamua kukuingiza chaka kwa kukusanya marafiki zake...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
kama mume mkewe hajabahatika kumzalia mtoto. lakini mume anaye mwanamke nje ya ndoa anamzalia watoto halafu mwanaume huyo anaendelea kumwambia mkewe eti bado anampenda sana, je ni kweli anampenda...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Hata siku moja siwez kuja kuandika humu kuwa natafuta mchumba humu. Ukizunguka mtaan,kwenye daladala,vyuoni,maofisini na mashuleni kuna wife material wa kutosha. Nashindwa kuelewa huu udomo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Study: Women most attracted to guys in trucks Incoming GM CEO Mary Barra introduces the 2015 GMC...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
  • Closed
How we're different and what to do about It Revealed in this book: -Why men really can't do more than one thing at atime. -Why women make such a mess of reverse parallel parking -Why men...
10 Reactions
0 Replies
1K Views
Yawezekana unapita katika magumu na unaona hakuna njia tena na unakata tamaa. Umefika mahali na unasema siwezi kupata kazi tena, hii kazi siwezi tena, haya mahusiano yamenishinda, hii NDOA...
21 Reactions
42 Replies
9K Views
Wanajamvi habari zenu. Mimi ni mke na mama wa watoto 2 , kunakitu sikielewi kuhusu huyu mume na nishaongea naye mara nyingi tu naona bado kinajirudia sasa naomba ushauri wenu great thinkers maana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom