Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,443
Mwana JF Mwenzetu charminglady amepata health complication na amepumzishwa Aga Khan Hospital leo asubuhi.
Tumuombee mwenzetu apate uponyaji wa haraka ili aweze kurudi jukwaani na kuisongesha JF mbele.
Pole sana Mjukuu wangu charminglady naamini mwenye enzi Mungu mwingi wa rehema atakuponya haraka.
CC: @C6, Elizabeth Dominic, watu8, Asprin, Paloma, Munkari, Heaven on Earth, miss Neddi, Mentor, na wadau wengine niliowasahau kwa sababu ya haraka za kuweka hili bandiko