Baba akiwajibika.

Baba akiwajibika.

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,402
Reaction score
138,668
Wababa wa Kitanzania mnayaweza kweli haya? Wangapi kati yenu mshawahi hata kuzibana nywele za mabinti zenu?

Hii habari nimeitoa Yahoo. Hii picha ilienda viral baada ya jamaa kuiweka kwenye mtandao. Kwa habari zaidi ingia hapa

62812fad-77e9-4077-b243-0212df600877_newphoto.jpg
 
wapo wanaoweza, ila huyo baba hapo ni kama vile alibaki mwenyewe hapo nyumbani.

Yeah ni kweli. Mkewe alikuwa anawahi kazini na yeye akasema atazitengeneza nywele za binti yake.
 
Kama DMX hivi, huku akifanya hivi watasema mke karoga.
 
Yeah ni kweli. Mkewe alikuwa anawahi kazini na yeye akasema atazitengeneza nywele za binti yake.

mie nilimshuhudia mbaba mmoja tangu tumeitembelea ile familia alikuwa amebeba mtoto, mtoto alivyojisaidia alimsafisha na kumbadilisha mavazi. wife wake alikuwepo na trip za jikoni na sebuleni. mambo kusaidiana. Caroline Danzi waikumbuka ile?
 
Last edited by a moderator:
Mimi mbona huwa namwogesha binti yangu?
nywele huwa namnyoa tu.

CC: shansarie
 
Last edited by a moderator:
Inaelekea "anawajibika" sana kwa mambo yote! Mtoto mkubwa miaka 2, mdogo wake miezi 6! Mama alishika mimba wakati mtoto huyo mkubwa akiwa na miezi 9?
 
Inaelekea "anawajibika" sana kwa mambo yote! Mtoto mkubwa miaka 2, mdogo wake miezi 6! Mama alishika mimba wakati mtoto huyo mkubwa akiwa na miezi 9?

Mbona ni gap nzuri tu hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
namna hiyo hivyo ndo tunavyotaka lazima tuutokomeze mfumo dume
Wababa wa Kitanzania mnayaweza kweli haya? Wangapi kati yenu mshawahi hata kuzibana nywele za mabinti zenu?

Hii habari nimeitoa Yahoo. Hii picha ilienda viral baada ya jamaa kuiweka kwenye mtandao. Kwa habari zaidi ingia hapa

62812fad-77e9-4077-b243-0212df600877_newphoto.jpg
 
Wababa wa Kitanzania mnayaweza kweli haya? Wangapi kati yenu mshawahi hata kuzibana nywele za mabinti zenu?

Hii habari nimeitoa Yahoo. Hii picha ilienda viral baada ya jamaa kuiweka kwenye mtandao. Kwa habari zaidi ingia hapa

62812fad-77e9-4077-b243-0212df600877_newphoto.jpg
Mkuu N'N; Mmmh kimila hiyo kwetu bado na ngumu....! Lakini majuu ushirikiano wa kulea upo 10x10...!
Good news to copy...
 
huyo kapgwa kipapai na mke wake, si bure. Kama sivyo basi mke wake anamuweza (anamdunda). Haiwezekan, haiwezekan, haiwezekaniiiii #pamejiandka hapa#
 
namna hiyo hivyo ndo tunavyotaka lazima tuutokomeze mfumo dume

Basi na matumizi ya kuhudumia familia (kodi ya meza, ada za watoto, bills za umeme, maji etc) yawe sawa kama mnataka huo usawa. Hao wadhungu wanachangia kila kitu pasu kwa pasu, sisi tunawalea sana eti
 
Wanaume wa kitanZania?
Wakati hata mtoto akikia anaitwa mama mtoto aje ambembeleze itakua kumbana nywele?
 
Huyo mwnaume atakuwa hafai na atakuwa hana daytime kwa mkewe ndo maana anafanya yote hayo ila nampa pole sana.
 
Thats great, huwa mimi nafanya hata zaidi ya hapo. Sema sina binti mimi nafyetua madume na yana misuli kama mimi. Happy new year Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom