Nahitaji mwanamke yeyote alie serious kuanza nae mahusiano...kama uko single na unasoma hii post usisite kuni pm au niandikie hapa
mimi_kwanza@yahoo.com
Linapokuja suala la kupenda kwa upande wa wanawake, kila mmoja anakuwa na vigezo vyake katika kumchagua mwenza hususan kwa sifa za nje. Inaweza kuwa ni maumbile ya mwili kwa maana ya unene...
Hivi jamani, mlisha wahi kuwaza kua Guest house zinaweza kua na hidden Cameras?. Nakusudia kusema kua, wengi wetu tuna jiachia vya kutosha Kunako Guest house. Suppose they have hidden cameras in...
Habarini marafiki zangu
Leo nawapa darasa zuri sana hapa ambalo akina dada mtavutiwa nalo kwani asili yenu ya urembo na sura zenye mvuto kwetu sisi makaka.
Hata makaka mnaruhusiwakufanya hivi...
Kwa mujibu wa kichwa cha habari wakuu, iwapo upo kwenye ndoa je kuna ubaya wowote wa mwenzi wako kuchat na mzazi mwenzake waliyekuwa na uhusiano kabla eitha walipata mtoto au hawakupata hii...
JamanI hebu muda mwingine wanaume mjitahidi usafi muoge najua sio wote mpo hivyo.
Unakuta jitu limezunguka kwenye jua huko full kutoka jasho, halafu akirudi nyumbani kwa wife usiku anataka...
Duhh nimepotea hadi najiona mgeni.
Kwanza nianze kwa kutoa salamu; Heri ya mwaka mpya wapenzi wote wa MMU kutoka kwa mwanangu na mimi MBN. Na baada ya salamu hizo za heri nipende tu kuwajulisha...
Habarini marafiki zangu
Marafiki zangu nimeona nishare nanyi hii kitu kwani nimeisoma mahali nikaona nanyi itawafaa pia
kuisoma na ndipo nimedadavua huko na kuileta hapa jamvini nanyi mpate kitu...
Huu ni ujinga kabisa badhi ya midume inapenda kutumia neno hilo kwenye mawasiliano, Mambo vip Wangu? Nani wako sasa Hizo ni style za kisho**g* mi nalichukia sana hilo neno hasa nikitumiwa na mtu...
Habari zenu wana JF ninaomba mnishauri kwamba nilikuwa na mvulana wangu ambaye tulikuwa katika mahusiano kwa miaka kama sita na tukakbaliana kuwa hatutafanya mapenzi mpaka touane akanikubalia kwa...
Wana Jukwaa heshima kwenu!
Nahitaji msichana wa kuburudishana nae kimapenzi, bila kuwa na commitment yeyote wala mizinga. Just for fun! Na kutumia mipira kila mara No peku.
Shaloom Mpendwa!
Namshukuru sana Mungu aliyekuwezesha kumaliza salama mwezi wa 1 na tayari umeingia mwezi 2! Haijalishi unayoyaona na kuyaptia, bado endelea kuliitia jina la Bwana Mungu wa Israeli...
Wakuu,
Nami leo natimiza miaka kadhaa.Upendo,uwepo na sala zenu zimenifanya nifike hapa.Nawashukuru nyote.Nawakribisha nyote nyumbani tujumuike pamoja.
Big respect to you All!!
Habari zenu wana Jf nimekuja kwenu kuomba ushauri kwani nilikuwa na mvulana kwa miaka sita na kuahidiana kutofanya chochote mpaka tuoane.
Mwaka jana alikuwa akiniambia yuko tayari kunioa lakini...
Let Me Start.
I Remember It All Started In Shinyanga It Was Back In 2008 I Was 15yrs And Still Our Love Lives Untill Today She,s My First Girl And I,m His First Guy , I Always Wish And Pray That...
Njoooniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Hii naripoti live kutoka mtaani kwetu ugombolwa!!!!!!!!
Mshikaji alimaliza madarasa kadhaa katika kusaka vyeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.