Nimefumaniwa na mke wa mtu

Nimefumaniwa na mke wa mtu

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
396
Reaction score
196
Nilimuheshimu sana shemeji yangu, lakini majuzi sikuamini aliponifuata katika chumba changu saa 7 usiku, tukiwa hotel moja serengeti park tulikokuwa kwa ajili ya mapumziko, ni mke wa rafiki yangu, mwanamke mrembo kupindukia, tukiwa tayari tumelewa mi nikaenda kulala, mumewe akasema anaenda poaching na game soldiers, mara nikasikia mlango unagongwa, kufungua ni yeye, oops mwanamke kama alivyozaliwa, alikuwa kajifunga khanga tu, bila hata chupi, nikiwa nimepigwa butwaa, akaitupa khanga mbali, nakupenda James, usiponifanya napiga kelele kuwa unataka kunibaka.

Sikuwa na ujanja ila kumgegeda, ile nakaribia kileleni tu, jamaa huyu hapaa, yaani live.

Alitoa kisu mfuko akanirushia nami nikakwepa!
 
Nilimuheshimu sana shemeji yangu,lakini majuzi sikuamini aliponifuata ktk chumba changu saa 7 usiku,tukiwa hotel moja serengeti park tulikokuwa kwa ajili ya mapumziko,ni mke wa rafiki yangu,mwanamke mrembo kupindukia,tukiwa tayari tumelewa mi nikaenda kulala,mumewe akasema anaenda poaching na game soldiers,mara nikasikia mlango unagongwa,kufungua ni yeye,oops mwanamke kama alivyozaliwa,alikuwa kajifunga khanga tu,bila hata chupi,nikiwa nimepigwa butwaa,akaitupa khanga mbali,NAKUPENDA JAMES,USIPONIFANYA NTAPIGA KELELE KUWA UNATAKA KUNIBAKA,Sikuwa na ujanja ila kumgegeda,ile nakaribia kileleni tu,jamaa huyu hapaa,yaani live.Alitoa kisu mfuko akanirushia nami nikakwepa!
Ibilisi bado hajaacha kumfuata Mwanamke....

Pole sana haukuwahi hata kumaliza ukashtuka usingizini umekata na ndoto ikakatikia hapo.
 
Halafu jamaa kaenda hunting kabisa we unagegeda mkewe? Unatafuta kuwa hunted na wewe????

BTW poaching is illegal ila hunting is not, so usitake kutuaminisha jamaa yako we James ni jangiri anayeshirikiana na askari wa maliasili hapo serengeti. TOKOMEZA II inakuja
 
Yuko wapi YUSUFU wa leo?

Nilimuheshimu sana shemeji yangu,lakini majuzi sikuamini aliponifuata ktk chumba changu saa 7 usiku,tukiwa hotel moja serengeti park tulikokuwa kwa ajili ya mapumziko,ni mke wa rafiki yangu,mwanamke mrembo kupindukia,tukiwa tayari tumelewa mi nikaenda kulala,mumewe akasema anaenda poaching na game soldiers,mara nikasikia mlango unagongwa,kufungua ni yeye,oops mwanamke kama alivyozaliwa,alikuwa kajifunga khanga tu,bila hata chupi,nikiwa nimepigwa butwaa,akaitupa khanga mbali,NAKUPENDA JAMES,USIPONIFANYA NTAPIGA KELELE KUWA UNATAKA KUNIBAKA,Sikuwa na ujanja ila kumgegeda,ile nakaribia kileleni tu,jamaa huyu hapaa,yaani live.Alitoa kisu mfuko akanirushia nami nikakwepa!
 
Halafu jamaa kaenda hunting kabisa we unagegeda mkewe? Unatafuta kuwa hunted na wewe????

BTW poaching is illegal ila hunting is not, so usitake kutuaminisha jamaa yako we James ni jangiri anayeshirikiana na askari wa maliasili hapo serengeti. TOKOMEZA II inakuja

ina maana jamaa yake km ni jangil, anashirikia na pia na kinana wa ccm
 
Hii habari umeiandika ukiwa bado na "hang-over" ya kufumaniwa. Ukitulia nina uhakika utaomba iondolewe hapa.
 
Back
Top Bottom