Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
Hata siku moja siwez kuja kuandika humu kuwa natafuta mchumba humu.
Ukizunguka mtaan,kwenye daladala,vyuoni,maofisini na mashuleni kuna wife material wa kutosha.
Nashindwa kuelewa huu udomo gundi umetoka wapi siku hizi.
Watu wanaiba namba,wanatumia facebook na jf kutongozana kizembe.
Hakuna kama raha ya kutongoza afu ukawa unakataliwa kataliwa afu unakuja kukubaliwa.
Nakumbuka zamani bila face to face hutoi la moyoni labda kidogo barua ilisaidia.
wakati mwingine unavizia dingi wa demu kaondoka ndio unaenda kutoa la moyo.
WANaume tuwe na uwezo wa kutongoza.
AFU NYETO INASABABISHA UOGA.
#NENO LANGU SIO SHERIA#