Unalala na ch.upi kwani mimi ndugu yako ?

Unalala na ch.upi kwani mimi ndugu yako ?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,557
Reaction score
870,136
Tuacheni maskhara kabisa Jamani, mkiwa kama wanandoa au wapenzi mnaoishi pamoja chupi ya nini kitandani??? Kwani unataka kuninyima nini?

Achia mamboz yawe free to air nikijisikia napanda ukijisikia unapanda, sio mzuka umepanda halafu tunaanza kuambiana VUA BASI, haipendezi hatuna undugu sisi ni wapenzi

Sanasana vaa kinite dress chako chepessss baas, nami ntavaa kibukta changu angavu vikipendana tusipate shida ya kuvikutanisha

Ukilala nayo ntaichana
 
kunakipindi cha kuwa pale kwenye kile kinachong'aa usiku, bado atatakiwa asiwe nayo??

Ile dharura inajulikana Mapi labda kama uwe na uchu kama wa fisimaji aka to..ba maji
 
umetoka kwenye kuoga sasa ni chupi sijui kitafuata nn usiku wako inaelekea ulikuwa matata sana
 
embu kula tano kwanza yaani nilitaka kuandika hivyohivyo utachomekaje tu khaa, kuvuana raha bwana wakati wa maandalizi huku mnavuana inasisimua zaidi sio mtu akikugusa tu kishadumbukia haina mvuto hiii
ndo maana wanafikia mahali wanakosa ladha nguo za mtelezo telezo kama hizi index.jpgindexccc.jpg
 
unataka kutoa siri Karucee . halafu hivi tumeonana leo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom