Haya wadau eti ukiwa ktk mechi za league kuu ni marufuku kufanya rafu kama kuunyoosha mguu na kupiga shuti refu eti utamuumiza mchezaji na Kadi zake zinamadhara mechi zijazo. rafiki yangu huwa...
Pamoja na kuwa na nguo nzuri, kuwa na mwili mzuri wa kukaa nguo (kuna watu hata umvalishe nguo nzuri namna gani bado hatopendeza), nimekuwa nikiboronga katika uvaaji, jinsi ya kujua nguo gani...
Unajua nashangaa sana, kwani siku hizi imekuwa ndiyo habari ya mjini ikizungumzwa kwa kunong'ona. Sikuwa naelewa vizuri mpaka nilipoiona kwenye Luninga kupitia kisimbuzi hiki kipya-kipya.
Watu...
HAPPY PEOPLE!!
Heri ya weekend na Happy JF party.
Wakuu nina kitu naomba tusaidiane kutoa ushauri. Naomba tusome taratibu ili tuelewe hasa kinachoongelewa.
Kuna mdada mmoja ni mpenzi wa rafiki...
Hawa jamaa wamenitesa sana, mpaka nikatoswa na Demu wangu Halima,mana najulikana nafanya kazi, napata mshahara lakani hata demu wangu akija gheto hakuti mabadiliko, room iko vilevile, tena chumba...
Habari zenu wana MMU?
Nimeona nilete mada ijadiliwe humu jukwaani,
Ni kuhusu mitindo yetu ya maisha hususani suala la ulaji, uvaaji na uburudikaji(eg.smoking & drinking etc),
Kama wewe ni mtumiaji...
mapaenzi yamezidi kutafssiriwa kwa namana hasi na wengi wetu kwa kadri siku zinavyozidi kwenda mbele.
hivi hakuna uwezekano wa kuayapatia mahusiano na maenzi yetu tasiri mpya?tafsiri yenye mtazamo...
Heri ya mwaka mpya wote wana mmu ...
Back to topic .. Katika hali ya kushangaza maduka ya vipodozi mwenge mengi yana vibali kutoka TFDA wanauza spray ambazo ni expired kilicho nishtua kuna duka...
Nikiwa nahudhuria kikao na wadau wengine katika sekta ninayofanyia kazi, tulipobreak kwa breakfast nanyanyuka huku nikicheka na wanawasha wenzangu, oh my God! damu zimejaa kwenye kiti na sketi...
Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi "maisha kwako bado sana na wewe mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lakini sijui maisha yangu yatakueje...
Kuna wakati mtu unaweza kukabiliwa na mtihani fulani ambao unaweza kuupatia suluhu lakini kutokana na Ego ukajikuta unashindwa kukabiliana na mtihani huo.
Labda kwa kifupi tu nieleze nini maana...
Habari wana JF naamini mko poa, leo na mi nataka kuzungumzia kitu amabcho nimekiona kwa wanaume wengi tumekuwa tukifanya.
Unakuta mwanaume unaanzisha mahusiano ya online na Mtoto wa kike...
salaam wakuu
kuna dada nimempenda kule fecebook na nilikuwa napitia pitia kwenye sehemu ya " find friends "mara mtoto huyu hapa,nikamwandika private message akajibu,nikaomba urafiki akajibu sasa...
Leo nimekutana na mambo ya ajabu facebook. kuna msichana amepost picha zake akiwa uch na akifanya mapenz na mpenz wake walieachana. kuuliza ukweli mdogo wa msichaka kasema mchezohuo unafanywa na...
Hello, i am Colins,
A male aged 29,
Can,t sleep aisee,
Any1 wana talk,sms or whatsAp?,
I,m friendly,each to get along to,fun and gentle,
Just hollar pls 0688 65 82 92.
Thanks.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.