Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Guys and gals, there is this new song by Lyfe Jennings that I really like. I think it has a powerful message and that's what piqued my interest to listen to it again and again and became curious...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana mmu! Kiukweli huwa naelimika na michango ambayo utolewa hapa ingawa kuna baadhi ya members wanaleta/wanaanzisha topic kwa namna isiyofaa. Kwa mfano mtu anaanzisha topic huku akiuvaa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina nina Rafiki yangu ambae tuna shere Story nyingi na kuishi kama ndugu! Amekuwa akinieleza jambo hili Mara kwa mara Yeye amepata Kigoli Mpya baada ya kupigwa kibuti na Demu wake wa awali...
0 Reactions
117 Replies
18K Views
Ile tabia ya wazee ya kupenda dogodogo imemtokea puani mzee aliyetajwa kwa jina moja la mzee Omari.Mzee huyo alinaswa laivu akiwa gesti na denti wa shule moja ya sekondari jijini Dar (jina la...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
jamani baada ya kuwa nae kwa muda mrefu nimejiroga kuchungulia kwenye inbox ya simu ya mpenzi wangu na kukuta ujumbe huu. Nimeutafakri na na kujikuta sina hata uwezo wa kuandika meseji ya aina...
1 Reactions
83 Replies
11K Views
Kila ikikaribia tarehe flan,bidada huwa anapaniki,vurugu,ugomvi usio na maana,ikabidi nifanye uchunguzi nikagundua kumbe ni kale kamzunguko kake ka mwezini. Dah.!kumbe waweza kumtosa manzi wako...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ninachojaribu kutafakari mfumo huu wa kutandaza wasichana wazuri waliochukuliwa toka sehemu mbalimbali za nchi ili King Mswati achague anayempenda na kumvutia, kama ni kwa ajili ya kupamba Ikulu...
1 Reactions
72 Replies
22K Views
Habari wana jf, hii mara yangu ya kwanza kupost kuomba ushauri na ninaomba ushirikiano. Miezi miwili iliyopita nimekuwa na uhusiano na mwanaume ambaye anaonekana kunipenda na mimi ninampenda...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwa kawaida wanaume hasa wa nyakati hizi za DOT COM wanapochangua mwanamke wa kutoka naye au mwenza kila mmoja anakuwa na vionjo vyake vinavyomletea mshawasha hadi kumtokea mwanamke huyo. Wapo...
5 Reactions
108 Replies
19K Views
Jamani, natumaini wazima. Nimekuwa nafikiria sana ila naona nimepata majibu. Kabla ya kuwa mwaminifu kwenne ndoa yangu, ilikua nikichepuka nje ya ndoa nilikua nafunga goli nne hadi tano...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari wana JF ninasumbuliwa na kiuno, sometime kinauma upande mmoja mmoja yaan kinazunguka pande zote mbili ninaamka asbh nakuta kinauma upande wa kulia baada ya ck 1 au 2 kinauma left side...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza hili lindi kubwa la wanawake kutembea na wazee, wazee ambao ni sawa na baba/babu zao, mwanamke anapata raha gani kuwa na mzee, kwanza nguvu hana na pia hata kuonekana naye nia...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nna boyfriend wangu nampenda sana tatzo ni kwamba siku hizi simuelewi kabisaa kwani amekua busy kupita kiasi inafikia kipindi wiki nzima yeye hanitafuti kwenye simu mpaka nimuanze mimi nikipiga...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Seriously wanawake mlioolewa wengi Wenu mnaboa sana sana Aisee, Mnadharau sana Nguvu ya Nyumbandogo, Mnaviona Kama vimalayaflani visivyo Na Bahati. Na kurukia waume Za watu. Sure I am telling you...
4 Reactions
176 Replies
15K Views
Habari zenu bandugu? Poleni na majukumu. Naanza nasimanzi na huzuni moyoni,kiukweli nnaumizwa saana na hili jambo la utoaji mimba kwa nini lakini? kwa nini?,hebu tufike mahali wadada...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hili jukwaaa MMU wazee ni wachache sana,wengi wana miaka 21 hadi 28. Hili kundi ni 'freshers' ndio wamemaliza shule na kuanza kujitegemea. kimahusiano pia hawajakomaa kutoka kuwa na...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
plis msahada kila mala nikipiga simu ya mpenz wangu usiku nakuta busy yeye uwa ananiambia anaongea na marafiki zake kwer jamani na 2megombana sana ju ya hii tabia mpaka kupelekea kukata matumizi...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
SWALI LA CHANGAMOTO; Je, ikitokea Mungu afute ndoa zote duniani halafu iruhusiwe watu waanze upya kuchagua mke/mme wa kuishi nae, watakaorudiana ni asilimia ngapi? Cku njema!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hi! wana MMU.Hivi ni kweli kuwa wanawake huwakumbuka (tu)daima wapenzi wao wa kwanza hata baada ya kuolewa(walowabikiri)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom