maoni yangu

maoni yangu

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,880
Reaction score
6,906
Habari wana mmu!

Kiukweli huwa naelimika na michango ambayo utolewa hapa ingawa kuna baadhi ya members wanaleta/wanaanzisha topic kwa namna isiyofaa. Kwa mfano mtu anaanzisha topic huku akiuvaa uhusika lakini ukifuatilia topics alizoanzisha nyuma huwa hamna uhusiano kabisa.Kwa mfano mtu anaanzisha leo topic kuwa anamtafutia mume wake dawa ya kuongeza nyege ,halafu baada ya mwezi mmoja anaomba ushauri kuhusu mchumba wake wakati hajaeleza ndoa yake ilivunjika lini?

Ushauri wangu ni kwamba kama unawasilisha maada ili kudanganya members ni bora uwe unahusianisha na maada zako za zamani maana wengine huwa wanatafuta kama kweli uhusika uliouvaa kwenye hiyo maada ni kweli au la ili waweze kutoa ushauri kwa mlengwa la sivyo “If you tell the truth, you don't have to remember anything.”
― Mark Twain
 
Hiyo inakua kama mfano, hata kama alieleta mada sio muhusika mkuu, inakuwa ni mojawapo ya kuwaelimisha watu, wanaokutana na hali kama hiyo, pengine wengine wapo kwenye madhila kama hayo(kutokana na mada iliyowekwa) tatizo huwa wanashindwa kuyatoa yanayowapata au yaliyowapata, sasa mtu anapoleta mada ya uongo sioni kama kuna tatizo.

Ni moja ya kufikisha ujumbe, upo?
 
Tatizo lipo mkuu! baadhi ya members wanaghaili kutoa ushauri/michango wakishajua aliyewasilisha maada uhusika aliovaa hauna ukweli,(ushaidi upo hapa hapa mmu). Ushauri wangu ni kuwa kama unawasilisha maada hata kama haina ukweli iwe inahusiana na maada zako za nyuma ili iendane na ukweli kukuhusu wewe la sivyo tuelezane kuwa chochote kinachowasilishwa hapa ni kwa ajili ya kuelemishana no matter uhusika wa aliyewasilisha kwa sababu nimeshuhudia hapa hapa mmu mmoja akipewa za uso baada ya kuanzisha topics akiwa mhusika lakini watu wakasearch na kukuta uhusika wake kwenye hizo topics hausiani.
 
Sawa nimekupata vizuri sana mkuu
 
Ni kwel broh jpo mim sio mwenyji sana hpa jf kuna wat hawjskii raha kumalza sik bila kupost chochte hap jf so anatnga story zake then anasahau kuwa alsha andkaga uongo next time ana2letea nyngne ambayo haimatch na zilzopita so inakuwa kama story tu za akina second chance na salvado
 
kwani wale wanamuziki wanapotunga nyimbo za mapenzi huwa yamewatokea au wanawakilisha jamii ,ingekuwa hivyo ingekuwa balaa ,unatakiwa kuassume kuwa ikikutokea hivyo utafanyaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom