Mtandaoni
Senior Member
- Jul 22, 2013
- 134
- 65
Habari wana JF ninasumbuliwa na kiuno, sometime kinauma upande mmoja mmoja yaan kinazunguka pande zote mbili ninaamka asbh nakuta kinauma upande wa kulia baada ya ck 1 au 2 kinauma left side nilipewa dawa hosp lakin ckuona msaada nikaamua kuacha hivyo tu. Tafadhali anayejua namna ya kutatua hili tatizo naomba msaada tafadhal.