Hizi ni fikra potofu sana, kwanza lazma muelewe watu wanafanya mazoezi kwa sababu nyingi wengine ni ajira, hobbie, hulka, actors , sports etc. Kwa hao wanaofanya kwa ajili ya wanawake ni wajinga sana dunia hii ya ukimwi unatumia muda wako na fedha zako kujenga mwili wa kutafuta wanawake? pia comment kama hizi zinakatisha watu tamaa sana kwa wale ambao wanaanza kufanya mazoezi.
Kwa kifupi dar nzima ina gym za kisasa 5 tu!!!!!!!!! population ya 6-7 million people ni aibu. Fanya mazoezi kwa afya yako na sio kwa ajili ya kutafuta magonjwa.
Viwanja vya michezo vyote vimevamiwa watu wanaona ujanja kuvigeuza ma bar na guest houses eg Sinza. Embu angalia kila kona unayopita bar, natamani tungekuwa na playing ground na gym zakutosha.

sio wafanya mazoezi wote wako gym.
Hapo ndo mwisho wako wa kufikiri mkuu? Unahitaji msaada.
dunia inahitaji furaha...hamtaki hata kuchekeshwa kidogo...?
Hizi ni fikra potofu sana, kwanza lazma muelewe watu wanafanya mazoezi kwa sababu nyingi wengine ni ajira, hobbie, hulka, actors , sports etc. Kwa hao wanaofanya kwa ajili ya wanawake ni wajinga sana dunia hii ya ukimwi unatumia muda wako na fedha zako kujenga mwili wa kutafuta wanawake? pia comment kama hizi zinakatisha watu tamaa sana kwa wale ambao wanaanza kufanya mazoezi.
Kwa kifupi dar nzima ina gym za kisasa 5 tu!!!!!!!!! population ya 6-7 million people ni aibu. Fanya mazoezi kwa afya yako na sio kwa ajili ya kutafuta magonjwa.
Viwanja vya michezo vyote vimevamiwa watu wanaona ujanja kuvigeuza ma bar na guest houses eg Sinza. Embu angalia kila kona unayopita bar, natamani tungekuwa na playing ground na gym zakutosha.
mkuu NGULI.. samahani lakini, kuna swali nimekuuliza. naomba unifahamishe gymnation za kisasa kabisa kwa upande wa hapa dar ambazo naweza kupata huduma advanced. naomba pia kuainishiwa na gharama zao tafadhali!
So alitaka kuchekesha wanawake kuwa pesa ndo rafiki yao?
Sitaki kwenda huko...