na utakoma, subiria mimba.
Una bahati mbaya wengine wanatamani kuwa na wabebs wao karibu wakipewa maneno ya mahaba.
Kila ikikaribia tarehe flan,bidada huwa anapaniki,vurugu,ugomvi usio na maana,ikabidi nifanye uchunguzi nikagundua kumbe ni kale kamzunguko kake ka mwezini.
Dah.!kumbe waweza kumtosa manzi wako pasipokujua.
Guys watch out...
mtusamehe bure jaman
Una bahati mbaya wengine wanatamani kuwa na wabebs wao karibu wakipewa maneno ya mahaba.
Ile avatar uliotoa ilikua inakufaa sana
ulijuaje mkuu? ndo tofauti ipo hapo!
Kwani ya sasa hivi ni mbaya?
Si mbaya ila ile ulifanana nayo...irudishe bora
Ila ujue hii ya sasa hivi ndo nimefanana nayo kuliko kawaida.