Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,377
- 3,394
Kwa kawaida wanaume hasa wa nyakati hizi za DOT COM wanapochangua mwanamke wa kutoka naye au mwenza kila mmoja anakuwa na vionjo vyake vinavyomletea mshawasha hadi kumtokea mwanamke huyo. Wapo wanaoangalia sura zaidi, lakini umbo siyo kipaumbele chao, lakini wapo wale ambao sura wala haihuu wao ugonjwa wao mkubwa ni figa kama bazazi Asprin, KakaKiiza, Mentor, jouneGwalu, watu8 na wengineo ambao nimeghafilika majina yao.
Swali langu hapa ni kutaka kujua, pale linapokuja swala la kuvutiwa na mwanamke, ni viwango gani vinashika namba one kati ya Sura nzuri yenye kuvutia kama hii:
Au figa inayolipa kama hii:
Last edited by a moderator: