Hiki ni kichocheo kumfikisha mwanamke kileleni

Wiyelelee

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
1,071
347
Jamani, natumaini wazima.

Nimekuwa nafikiria sana ila naona nimepata majibu. Kabla ya kuwa mwaminifu kwenne ndoa yangu, ilikua nikichepuka nje ya ndoa nilikua nafunga goli nne hadi tano ukiachilia mbali zile za kuunganisha.

Lakini ilikua nikirudi kwa mke wangu, napiga moja tu nakuwa mchovu kabisa! Ila, nilichogundua ni kwamba huko nje mtu ukichomoka,

Basi ukimkuta mwanamke anaekusifia, na kukuongelesha kwa sauti nzuri na yakuvutia, mwanangu unapiga hadi unajisahau kwamba uko dunia hii.

unakuta anakupa maneno matamu.."chukua yote..eeeee! nakuachia mpenzi, haaaaa hapo umeniweza...nk nk" yaani hapo anakuchanganya kabisa! Mwingine hadi anatoa machozi namna na anvyonogewa na hiyo ni chachandu kabisa!

Sasa back home! DUUUU! Romance kila upande na kwenye sehemu zenye hamasa unaona jicho kalikodoa tu!

Piga mwanangu unaona kimyaaa tu! Sasa hapo mtu utapiga ngapi? Sasa ugumu unapokuja, je utamwambia mkeo kwamba nae aanze kukusifia au kulialia? ataanzaje?

Haya ni mambo ambayo nayakumbuka enzi zileeee, lakini kwa vile nilishaacha kuvinjali nje, nayamezea tu.

Nawasilisha jamani.
 
Nilisahau kusema kwamba utundu wa mwanamke mwenyewe ukichanganya na ule wa mwanamme inachangia kuwa kichocheo cha kila mmoja kufika kileleni. Anaelala tu kama gunia, atafikaje hiyo safari?
 
Huko nje mnaibiwa. Ukute she aint even feelin' ya but the prospects of money would make her do anything.
 
Heading na content ni kama mashariki na magharibi zilivyo mbali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom