Langu swali kuhusu wapenzi wa zamani

ABINALA

Senior Member
Sep 20, 2013
134
55
Hi! wana MMU.Hivi ni kweli kuwa wanawake huwakumbuka (tu)daima wapenzi wao wa kwanza hata baada ya kuolewa(walowabikiri)
 
mmm, si kweli. Binadam wote si sawa.
Ukiolewa alie kubikiri na wapenzi wa zamani unawasau.
Labda ukikutana nae barabarani ndio utamkumbuka, ila utamsau dakika chache.

Vile vile kuna tofauti ya kumkumbuka mtu, kumuongelea mtu, kumuwaza mtu. Tufafanulile tuelewe.

Mwanamke anaweza kumkumbuka mpenzi wa zamani ikiwa.
1) mpenzi wa zamani alikua na tabia mzuri, au ana roho mzuri kuliko mumewe.
2)Au anajisikia hapendwi na mume alie nae, hivo anamkumbuka alio mpenda.


3) Inawezekana pia mke hampendi mume wa sasa, anawakumbuka alio wapenda.
4) Inawezekana mke yupo kimaslai ktk ndoa, hivo utumia wapenzi wa zamani kama chambo cha kupata mali au anachotaka.

Hivo ukiandika A to Z na kufafanua anayo ongea juu ya mpenzi

Ni kawaida mtu kuongea juu ya mpenzi wa zamani, tena mtu anaweza kuongea mabaya na mazuri juu ya mpenzi wa zamani sio maana yake eti ndio bado anampenda.

Ila kumuwaza si kitu cha kawaida.
Kama mtu anamuwaza mpenzi wa zamani sana, inaweza kuaribu ndoa yake.

Kukumbuka mpenzi wa zamani hata wanaume wengi wapo hivo sio mwanamke tu.
 
Back
Top Bottom