Niasaidieni majibu.....

Niasaidieni majibu.....

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
472
Reaction score
111
SWALI LA CHANGAMOTO;
Je, ikitokea Mungu afute ndoa zote duniani halafu iruhusiwe watu waanze upya kuchagua mke/mme wa kuishi nae, watakaorudiana ni asilimia ngapi? Cku njema!
 
SWALI LA CHANGAMOTO;
Je, ikitokea Mungu afute ndoa zote duniani halafu iruhusiwe watu waanze upya kuchagua mke/mme wa kuishi nae, watakaorudiana ni asilimia ngapi? Cku njema!

Asilimia mia.
 
^^
Mambo ya ku assume haya, yananikumbusha hesabu za
LET X= 7 find the value of X
teh teh
^^
 
Wakwanza mimi ningerudiana na mke wangu japo ameniacha
 
Sijui, ila mi ntaoana tena na wangu.
 
Yaani kuna perception mbaya imejengeka juu ya ndoa mpaka inatisha,kwa hiyo wewe unafikiri walio kwenye ndoa wameoana bahati mbaya? watarudiana kwa asilimia mia kwani watakuwa wamesahau yaliyopita wanakuwa wapya wanarudi enzi za baby,honey,swit,my king, my queen etc maana haya maneno huwa yanaadimika sana ndoani
 
Je, ikitokea Mungu afute ndoa zote duniani halafu iruhusiwe watu waanze upya kuchagua mke/mme wa kuishi nae, watakaorudiana ni asilimia ngapi? Cku njema!

Bangi mbaya sana...
 
Hakuna kitu kibaya kama Illusions, ipo siku utatamani umiliki mali za carlos slim.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom