Never underestimate the power of nyumba ndogo

Never underestimate the power of nyumba ndogo

TAMKO

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,090
Reaction score
763
Seriously wanawake mlioolewa wengi Wenu mnaboa sana sana Aisee, Mnadharau sana Nguvu ya Nyumbandogo, Mnaviona Kama vimalayaflani visivyo Na Bahati. Na kurukia waume Za watu. Sure I am telling you stop this. Never underestimate the power of nyumbandogo.

Umebweteka tu, ukirudi home umejitupia Kwa bed ukiguswa unamaka Eti umechoka, mumeo yuko bize Na simu down night we unaona poa tu, Kwamba ni jiwe la mtoni weye Maji yatapita yataliacha, frendie umebug mama. Tena Kama ni reli imegeuka tope, Nyumbandogo zina nguvu sana..

Ukibahatika sana waweza kudhibiti mshahara lakini unajua marupurupu mengine yanapo elekea?, lunch, OT, mishemishe Za kiofisi unajua fedha Yake ni zaidi ya Mara tano Na kitu ya kimshahara chake! Unajua zinaelekea wapi!?!, acha Ushamba, unadhani kuna maisha mengine zaidi ya Haya.

Sijui mmelewa mvinyo gani, aliyewadanganya kawalogea Kwenye uongo , Nyumbandogo zina power sana sana. Wanaume all days hukimbizia Fedha zao Kule wanakoinjoi love. Imagine Kwenye Kitabu Cha Biblia, palikuwa Na Mfalme mmoja aliyeitwa Daudi.. Aliyekuwa Na wake Saba wa ndoa Za Kishindo.. Wote walibweteka wakimsubiria Mfalme amteue Mtoto wa mmoja wapo awe mrithi wake.. But what happen, Mwanamke Mwingine we can say Nyumbandogo (Bathsheba) aliyekuwa Mke wa bwana mmoja askari Uriya, akapenetrate within the David Kingdom , akawa the 8th wife Na Kuutwaa Urithi wa Ufalme Kwa mwanae Solomon., wale wengine wakabakia mimacho pyuu, Then Nyie Leo mnadharau hii kitu. Chezea pesa, hata Kazi chezea but usichezee mume. Itakucost.Kazi yaweza potea ukasaka nyingine mume akikuponyoka siku akirudi haji peke Yake ameshajifungashia zigo la Gonjwa, anakugawia Na wewe.. Nambie kama utaona Raha ya Kazi tena, Kama utaona Raha ya Shule unayoikazania. Kila siku openiyunivaste-yunivaste itageuka klose-yunivaste.

Hapana aisee , badilikeni, mkeep bize mwanaume at your Body, mmassage, make him happy, is the only husband an pet man you have. Mwanamke mmoja makini akinambiaga Yeye mumewe anamtendea "vitu" kiasi hata akienda nje hawezi kuta Kama hivyo ampavyo. But wengine maadam keshaolewa, Na ndoa zenyewe hizi Za kikristu, one wife , Basi anaona kafikaaa, Umelogwaje,wakati wa Mchana mchane Na Whatsapp mwenyewe akome sio kuwaachia wengine wamuwatsapp utajuta.

Kazi, Watoto, Ndugu Na majukumu mengine yasikufanye ukapoteza lulu yako ya Kuwa Na happy time Na Mumeo..


Ktk nguvu kubwa ambazo mwanamke anazo basi, moja wapo ipo ktk "ulimi" wake. Mwanamke aliyeolewa (na ukute kasoma) hii kwake ataona ni kujidhalilisha,wakati kwa nyumba ndogo kwake hio ndio fursa.Ndipo tunapo toa hata siri za ndani;unajua mkewangu hanipigiagi simu,haonyeshi kufurahia tendo,ni mtu wa kulalama kila siku,sio mtu wa kuapreciate na n.k, basi hiyo nyumba faraja itakuwa ikifanya yote ambayo mke hafanyi.Amin kuna wanaume wanajenga nyumba au kunua gari kwa nyumba faraja hata kabla ya familia zao
Big up umenipata, akili ya Mwanaume hupeleka Moyo wake, sio Siri Za familia tu hata zake zote hummwagia Yule ampaye faraja hata kama ni temporary.. Hii Ndo naiita Nguvu ya mwanamke.. Nguvu ya Mwanamke iko katika kuutumia uanauke wake Kwa mwanaume.. Wanawake wengi ni Kama wanaume, Tabia Za Ubishi,ugomvi, kujifanya bize Na Kazi, kuutojali hizi ni Tabia Za kiume, Na alway like poles repel.. While unlike pole attract.. Mwanaume akiziona Tabia hizo Kwa Mkewe lazima azikimbie kiaina..

Mwanamke ni gentle, flexible, laini, Mkimya flan, anajianini .. Na lazima mwanaume ampende.. And that is exactly what side women do.. Kwenye Vitabu vya Dini tulisoma Mwanamke tu Delilah Kwa kutumia uanamke wake, love, flexble, nyororo Na all time yuko bize Na the Great powerfull man Samson, aliyewashinda thousand of men but this simple women akamteka.. Mwanamke ana Nguvu sana akiutumia uanamke wake Na si ubabe
 
hatari..has kwetu uswahilini huku
 
Mmmh haya wamekusikia mkuu. Kwa wanaume nina haya ya kusema kumbuka kama ulifunga ndoa na ukaamua kucheat kwa sababu yoyote jua kuwa kuna sehemu kwenye kitabu flani imeandikwa hivi aziniye na mwanamke hana akili hata kidogo. Sasa uamuzi ni wako kuamua kuhamia kwenye team ya Lucifer au kubaki kwenye team ya Mungu. Uwapo kwenye team yoyote jua kuwa kuna gharama zake.

Na wewe mwanamke uliyejipa cheo cha nyumba ndogo au vyovyote unavyojiita ni hivi wewe ni mwizi na muuaji huko mbele kuna malipo yake, kwanini usitafute mume wako ukafanya hayo unayofanya kwa waume wa wenzio....

Kinachofanya nyumba ndogo zikue ni tamaa mbaya ambayo mtu anakuwa nayo. Kwa mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kuwa na nyumba ndogo. Ni lazima atakaa na mwenzake wataongea kama kuna hitilafu ktk mahusiano yao. Ikiwa mtu umeingia kwenye maisha ya ndoa bila kufanya home work yako basi lazima ikugharimu. Wengine wamejikuta wameoa au kuolewa na waume/wake wasio wao.

Ushauri wangu, unapotaka kuingia kwenye maisha ya ndoa hakikisha unafanya home work yako vizuri kamwe usiongozwe na hisia zako angalia fact. Sio mtu mpo kwene uchumba kesha kucheat, uolewapo/uoapo type hiyo ya mtu basi kuna gharama zake.

acha Ushamba, unadhani kuna maisha mengine zaidi ya Haya?!?.

Mkuu hapo nilipokukoti ni hivi yapo maisha mengine baada ya haya haijalishi unajua au hujui lkn elewa kuwa yapo maisha baada ya haya tunayoishi. Na maisha yajayo yanategemea sana maisha tunayoishi wakati huu .
 
Mhhhmmm!!! Hili nalo neno!!! Message delivered to whom may concern!!!
 
Eeeh Mmezidi na nyie ,some men are impossible to please,...mkeo hachokii??na jeee wewe mwanaume unampa mkeo everything na yeye asitoke nje??
Unafikiri kukucheat haiwezekani?haki mi ukizidisha vurugu za nje no need kuzozana wl js give a treat of ur own medicine......
Nikae nawaza the power of nyumba ndogo ili iweje wkt nimeolewa mimi،(legally)
nyumba ndogo wanadanganywa tuu,mume wa mtu sio,hadi kanioa mimi HE HAD REASONS
 
mie simo, nyumba ya nini kwangu wakati kubwa tu yenyewe....................
 
mhhhhhhhh!

I beg to differ!!!!!!!

Usawa huu wakina LAZY BILLY na IRRESPONSIBLE MANKIND bora tu niwe NYUMBA NDOGO!

Mume wa mtu, haswaa awe JITU ZIMA na pesa zake, ndo mpango wa sasa. Aaaaah! We wajilia kivulini tu! Mwenyewe anakuna kihwa akuwezeshe vipi ungae mjini hapa! Uwe na P.O.BOX na uweke heshima bar!, uvae vizuri, ul vizuri, uishi pazuri. Kijana ATAKUPAKA SHOMBO TU! MWENDO WA HAPA GAME KODI KAMUOMBE BABA YAKO! Sasa si wazimu huo!

Akhaaaaa mwenzangu, vijana wanachosha si utani! Ukizuba ANAKUKOPA MCHANA KWEUPE NA ALIPI NG'OOO! UMJUE KITANDANI NA MFUKONI! Si ahabu hio sasa. Na vitimbi vyao vya kuwapanga folleni! Puuuuuuuu!

Mwendo unakuwa small house ya mtu wa maana, wewe ni kuperuzi na kudadisi menu za hotel tu, mkaa na nazi wawachia wenye tittla zao za MRS! Hata wakiga mjini hawaendi (hahaaaaaa! im kidding people) Baby makin machine, kila baada y miaka 2 anashusha kitu, aijaze dunia.

No matter what on the other side THE GRASS IS ALWAYS GREENER!!!!!!!!!!!!

Sema nyumba ndogo zinapobugi ni kuanza uzaa zaa ovyo na wanaume za wenyewe! Hapo ndo utatelekezwa mpaka ushangae! KUPEWA LIFT UNATAKA UPIGE HONI KABISAAA!!!! Loooh! YOU ARE TROPHY, MADE FOR SHOW DEAR, CARRY YOURSELF AS ONE! Less wig, high hills, manicure, pedicure na mambo kam hayo!
 
Goodmorning TAMKO
Am just passing, see you later
 
Last edited by a moderator:
Eeeh Mmezidi na nyie ,some men are impossible to please,...mkeo hachokii??na jeee wewe mwanaume unampa mkeo everything na yeye asitoke nje??
Unafikiri kukucheat haiwezekani?haki mi ukizidisha vurugu za nje no need kuzozana wl js give a treat of ur own medicine......
Nikae nawaza the power of nyumba ndogo ili iweje wkt nimeolewa mimi،(legally)
nyumba ndogo wanadanganywa tuu,mume wa mtu sio,hadi kanioa mimi HE HAD REASONS

I love you ghafla.....Neno Hiloooo....
 
Hoja zako mkuu lakini ni Nyepesi mno Na zinaondoka nje ya maada..

....Kwa wanaume nina haya ya kusema kumbuka kama ulifunga ndoa na ukaamua kucheat kwa sababu yoyote jua kuwa kuna sehemu kwenye kitabu flani imeandikwa hivi aziniye na mwanamke hana akili hata kidogo. Sasa uamuzi ni wako kuamua kuhamia kwenye team ya Lucifer au kubaki kwenye team ya Mungu. Uwapo kwenye team yoyote jua kuwa kuna gharama zake.-
- .

Unaposight Kwamba Aziniye Na Mwanamke Hana Akili kabisa umeongelea upande mmoja, sikupingi. Lakini kimachoniuma sana ni watu wengi hufungua maandiko yanayowapa faraja na kinga binafsi Na kuacha ombwe la mafurushi ya madhaifu yao.. Kama unalitumia NENO La Mungu litumie Kwa Haki.. Fanya majukumu yako uliyoagizwa 100% . Mtu uko bize Na madudedude mengine, mkorofi, ukiguswa umechoka, hata mumeo akikuandikia SMS hujibu you don't care at all, unademand tu mambo makibwaa Na Ndo stand yako everyday.. Kisha Mtu akipiga nje unachomoa kaandiko Ka kujidefend.. NASEMA usimdhihaki BWANA Mungu wako.. Unachopanda ndio utachovuna, ngojea akuletee gonjwa Ndo utajua ana akili au hana.. Timiza wajibu wako uone Kama Mungu hatakunyoshea Mtu wako , si iliandikwa Mwanamke atamlinda Mwanaume unadhani andiko lile takatifu lilikuwa Na maana gani??!?

Na wewe mwanamke uliyejipa cheo cha nyumba ndogo au vyovyote unavyojiita ni hivi wewe ni mwizi na muuaji huko mbele kuna malipo yake, kwanini usitafute mume wako ....
-.
Hivi mnawaonaje wanawake wasioolewa, hivi mnajua nao wana kiu ya Kuolewa?!. Je unapopanga hukumu Yake unahakika wewe huna hukumu.. ??! Je alimtongoza mumeo au Mumeo ndio alikwenda Kwa shida zake kutokana Na tifuo unalompa?
Kinachofanya nyumba ndogo zikue ni tamaa mbaya ambayo mtu anakuwa nayo. Kwa mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kuwa na nyumba ndogo.-
-.
Tunapoongelea Nyumbandogo hatuongelei mambo ya Mtu kuwa Na malaya wa kumridhisha Kwa tendo la ndoa, tunaongelea mbadala wa Mke, sio kila Mara Mtu huenda kunanii sometime they just have good time together..talking and have fun together kitu ambacho alitamani atende Na Mke wake ila Mkewe huita mambo hayo kupoteza wakati, utoto Na ujinga.. Nyumba ndogo ni mbadala wa Mke.. NASEMA sio Kukampein Bali hata hao Nyumbandogo wangependa Kuwa wake kamili hawajaitiwa hapo.. Unadhani Yeye hawazi !? Think twice..

Mkuu hapo nilipokukoti ni hivi yapo maisha mengine baada ya haya haijalishi unajua au hujui lkn elewa kuwa yapo maisha baada ya haya tunayoishi. Na maisha yajayo yanategemea sana maisha tunayoishi wakati huu .

Hapo mamito pole Sana sana. Unadhani Ukienda Mbinguni ndio utapata Mume Bora? Maisha baada ya haya ni ya Kiroho zaidi, huko hakuna kuoa wala Kuolewa so Kama unacheza makidamakida hapa ati huko utapata beat husband imekula kwako . Hakuna life jingine la Binaadam zaidi ya Hili, Hilo la Baadae sio la Binaadam Mwenye mwili Bali ROHO yake..
 
Haya mambo ni htr kuna ndoa zingine ni mtihani watu wanasiri kubwa moyoni nikumwachia mungu atuongoze ktk njia ya haki
 
Mke ni mke tu, wengine waendelee kupiga kelele.
Inawezekana hizo ndo kazi za nyumba ndogo, kazi za mke ni multifactorial.
Mi nilishakataa kuwa second choice, ukweli ni kwamba hata waimbe vipi, waseme udhaifu wenye nyumba always ni second choice. Nafasi yenyewe ni wao wamechagua kwa nini kumtaabisha aliyejichagulia namba moja.
 
lakini mbona zigo lote la kutunza ndoa mnamwachia mwanamke just imagine nae ni mfanyakazi je haitaji kubembelezwa??????
mwanaume anaetoka nje ya ndoa asidhani hao nyumba ndogo wanampa upendo bure wengi ndo OFFICE hizo na ni lazima wawajibike ili kulinda kibarua kinachowawezesha kuishi mjini

nyumba ndogo anakupetipeti ili umlipie kodi na mume hapo badala ya kuwekeza kwa ajiri ya familia yake anajiona mjanja kuhonga nyumba ndogo

nyumba ndogo anapendeza kwa sababu unampa pesa ya shopping,saloon, achilia mbali vipodozi na mikwanja midogomidogo

je mkeo mara ya mwisho lini ulimpeleka SHOPPING.lini ulimpa hela ya saloon. lini ulimtoa out
sana sana unajiona mjanja unatoa hela ya majukumu ya nyumbani basiiiiiiiiiii
kumbuka mke nae anahitaji kutengenezwa ili aweze kutoa vyema hizo huduma unazozipata nyumba ndogo za kupeti peti na kumassage

pamoja na yote kumbuka nyumba ndogo yingi huwa hawana kazi zaidi ya kujirembaremba na kumsubiri bwana mkubwa basiiiiiiiiiiii
je mkeo atoke offisini kachoshwa na foleni home kuna watoto wanamsubiri awasaidie homework
na hapo unampa lawama juu kuwa hawajibiki SHAME ON YOU
wanaume wote wenye nyumba ndogo ni wabinafsi wanaozifikiria raha za muda mfupi tu
 
Back
Top Bottom